MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Hiki chama kinaelekea wapi?