denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Usisahau kumpelekea taulo, na dawa ya meno kesho asubuhi. Maana hayo mate yatakavyokuwa yanamruka ruka kesho ni Mungu saidia.Bonge la professor hilo, hahahahahaha
Taadhari kwa waandishi wa habari na vinasa sauti vyuo bora waviwekee vizuia maji kabisa.