Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Nasikia kuna watu wenye tabia ya kuwanga na hii nasikia hufanyika gizani !!
 
Kama hana mke basi ni halali yake kuchanganyikiwa

unajua mkuu tuache utani kama kuna mtu anajua jamaa huyu kama ana mke au mtoto wa kusingiziwa atupe msaada kabla hatujaanza kuwaza mengine mana kituko hiki kwa mtu mwenye mke haiwezekani
 
Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Chama kipo kama jiwe, likikuangukia waumia na ukiliangukia waumia, Le prof nana kalianguk....
 
Pamoja na yote hayo Mungu amnusuru kwani huenda hajui alitendalo.Mbaya zaidi kulala ofisini na hao vijana ambao mkutano wa zanzibar umewatafsiri kama wahuni.
 
It won't materialize,ni saw na kupiga penalt bila kipenga cha referee..linKuwa gori batri...sema ni vizr akajifariji ili asife kwa pressure..ukizingatia kuwa hana mke hata asipolala kwake sio mbaya
Not married? Why?
 
unajua mkuu tuache utani kama kuna mtu anajua jamaa huyu kama ana mke au mtoto wa kusingiziwa atupe msaada kabla hatujaanza kuwaza mengine mana kituko hiki kwa mtu mwenye mke haiwezekani
Mtu aliechanganyikiwa na Pure mathematics kupata mke ni ngumu mana hata mke mwenyewe anaweza Dhani anaishi na zezeta ndani
 
Back
Top Bottom