MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Bonge la professor hilo, hahahahahahaAisee, sijawai kuona prof king'ang'anizi kama huyu!
Najua mnamuenjoy tu mwenzenu. Mnafurahi anavojidhalilisha na kujichora.Bonge la professor hilo, hahahahahaha
Kapanda mlima kafika keleleni,karudi chini sema tu upande wa pili...lkn yupo chini baada ya kutoka huko juuVijana alioingia nao ofisini ni wa jinsia gani?
Huyu jamaa hajajiunga na kikundi fulani cha waigizaji? isijekuwa hiyo ni scene, wengine wamejikuta wanafanywa cast bila kupenda? maana siamini kama ni mambo ya kweli kabisa yanafanyikaHabari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Shughulika na matatizo ya chama chenu chadema...nyie ya cuf yanawahusu nini mpaka mtufatilie hivyo?Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
[emoji23] [emoji23]Huyu jamaa hajajiunga na kikundi fulani cha waigizaji? isijekuwa hiyo ni scene, wengine wamejikuta wanafanywa cast bila kupenda? maana siamini kama ni mambo ya kweli kabisa yanafanyika