Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Cuf bila Lipumba haina mvuto. Na huenda ndio mwisho wake
Alindoka mwaka mzima
Wameongeza wabunge NA madiwani... Mvuto upi unaangalia... Ccm wanamtaka lipumba sababu is easy to bribe him
imekula kwenu NA kwake pia naombeni mwenye, zile picha Alipokuwa NA jk rwanda kipindi kile cha uchaguzi.... nipigilie misumari Jeneza LA lipumba kisiasa.....
 
Kwani Mapalala walimfanya nini?

Wewe Acha Dada yangu.
Mzee James Mapalala ndio mwanzilishi wa CUF kwa nia njema alitaka kukiendeleza Chama lakini kwa uroho wa madaraka aliundiwa zengwe, fitna, majungu usiokuwa na maana yeyote akaonekana si kitu masikini mzee akaamua ku-retreat....!
 
ha ha dah ameamua ahamie ofisi kabisa ataishi hivyo mpaka lini sasa
 
Na bado mtahangaika sana, vilio vikiambatana na kusaga meno.
Chezea Professor wewe.
 
Heheheheheh kwanini asiende mwenyewe anaogopa nini sasa hahahahh .

Profesa Wa ovyo kabisa

Anazidi kujivua chupi tu.

Bora slaa anakula maisha huko mamtoni
 
mambo ya pale NGAWAIYA.miaka ile mpaka wakadindoshana ghorofani.ndio haya sasa kabeba na net buguruni kuna mbu sana
 
Anachokifanya huyu mzee ni sawa na wazazi wamekufa wewe unang'ang'ania nyumba ya kupanga au ya serikali kwa vile umekulia mle wakati ndugu zako wamehamia kwenye nyumba yao Mazese!!
 
Back
Top Bottom