Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Tetesi: Lipumba kaingia ofisini saa 4 usiku huu,inasemekana atalala hapohapo

Sio yeye...! He is being remoted

That id the sad part....jitu somi zima linaburuzwa km toto dogo.... !!
Na hawa sirikali wanazidi kutia aibu, kwenda napolisi kufanya vurugu ktk mkutano na then kumsindikiza ofcn !!

Hv kwa CVyake hawezi kupata kazi hata consultancy akapata za kula kuliko kujivua nguo hivi...

Km ni dingi angu namchapa ngumi chap chap.... Acha ujinga kulazimisha wakati ulikimbia mwenyewe na umeshaona hawakutaki...

Hela za lumumba zinawazuzua sana..
 
Kwas hiyo atakuwa anaingia usiku ofisini kila siku?
Ahahahaha ni aibu sana wasomi wetu aisee
Nwapongeza sana Korogwe Vijijini kuleta mganga mwitu Bungeni kumkataa msomi Dr Mndolwa
Heri ya mbumbumbu kuliko msomi wa TZ
 
Back
Top Bottom