Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hayo ni maneno ya kwenye ukumbi wa hadhara tuSi wapo kundi moja, Halafu Sakaya anadai bado ni NKM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maneno ya kwenye ukumbi wa hadhara tuSi wapo kundi moja, Halafu Sakaya anadai bado ni NKM
Ah ah ah ah ahIt won't materialize,ni saw na kupiga penalt bila kipenga cha referee..linKuwa gori batri...sema ni vizr akajifariji ili asife kwa pressure..ukizingatia kuwa hana mke hata asipolala kwake sio mbaya
Hahaha...prof ananipa raha sana, kawakamata kunako.Bonge la professor hilo, hahahahahaha
Yanahusu sana coz ni ukawa memberShughulika na matatizo ya chama chenu chadema...nyie ya cuf yanawahusu nini mpaka mtufatilie hivyo?
Hapo siyo kuchanganyikiwa kweli!!!!Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Kwani Mapalala walimfanya nini?Mlifikiri mtamuonea kama Mzee wangu James Mapalala. Hiki ni kisiki cha mpingo na bado mpaka kieleweke.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mbavu zanguChama kipo kama jiwe, likikuangukia waumia na ukiliangukia waumia, Le prof nana kalianguk....
Hahahahaha tz nchi yanguHabari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Polis wanalipwa mishahara na pesa za walipa kodi iweje wamlinde mtu ambaye hana Manufaa kwa Taifa?hatari sana anaogopa vijana wa cufwatakuja usiku ww ngoja atatembea na polisi mda si mrefu kila mahali kwa ajili ya ulinzi
ana manufaa kwa kwa chama dola ndo maana atalindwa ili asidhurikePolis wanalipwa mishahara na pesa za walipa kodi iweje wamlinde mtu ambaye hana Manufaa kwa Taifa?
tuambie kama ana mtoto hata wa kusingiziwa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]acha hizo hadithii mkuu hayo maandishii yana 75% za ukweli?
Kabisaaa,,,,anajidharirixha sana,,,,i'ven't ever seen mad prof like dcHiki sasa ni kichaa
2010 CUF ya lipumba ina wabunge wangapi mkuu? na 2020 ina wangapi unataka kumdanya nani na akili yako ndogo hiyo?hebu achani kuropoka hata mwanaume kumuacha mke wake inakuwa ngumu lipumba jatoka na C.U.F mbali sana iweje aiwachie kizembe wakat anajua maalim seif yeye hapat hasara hata akiua C.U.F bara.