cha tabora
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 424
- 208
Mbona kama anafichama kuna prof mwenzie anamwogopa nn?Jamaa anatisha kwa muonekano huyo View attachment 408003
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama anafichama kuna prof mwenzie anamwogopa nn?Jamaa anatisha kwa muonekano huyo View attachment 408003
Kwiii kwiiii ati li profesa hilooo Lol.....Jamaa anatisha kwa muonekano huyo View attachment 408003
Hiyo ni siku anaenda kupokea mzigo siku ya kwenda rwandaMbona kama anafichama kuna prof mwenzie anamwogopa nn?
Hii kitu itakuwa imekuwa engineered Lumumba!!Hizi ndo Siasa za ipinzan Hanna mpya hapo, ndo mnategemewa mpewe nchi kwa stail hii
Huyo ndiye mwenzake na dr mihogoKwiii kwiiii ati li profesa hilooo Lol.....
Amfanye nini?Asije akawa kaenda na Sakaya
Hiyo ni 100%Hii kitu itakuwa imekuwa engineered Lumumba!!
Ha ha ha imebuma hiyoo duuuHuyo ndiye mwenzake na dr mihogo
Lumumba sasa wanahaha kutafuta vifungu vya sheria kumbakisha ndani ya cufHa ha ha imebuma hiyoo duuu
Hiyo ni siku anaenda kupokea mzigo kabla ya kutimkia rwandaCheki anavyoingia kwa kuchungulia kama kibaka
Mkuu kumbe umeliona hilo gari analo endesha?Nyie endeleeni kumpa a attention tu, mkutke mwenzenu zilisha mfyatukaga kitambo tu...
Au mnasubiri hadi atafune vyeti vyake vya uprofessor hadharani huku akiendesha gari la miti?
Wewe ndiye unatia aibu kuliko lipumbaSiasa za upinzani zinatia aibu.
Just waiting for da next episode comrade wangu is coming up soonEpesod ya ngapi hii
Si wapo kundi moja, Halafu Sakaya anadai bado ni NKMAmfanye nini?
Cc:mcubicNimekumbuka Yuda Iskalioti alipoona mambo yanamgeukia kilichofuata mnajua... Usaliti ni mbaya