dr nganamba
Member
- Sep 27, 2016
- 34
- 6
[emoji70] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] ,,,,,,,,kazma hana jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii ngoma imembumia hiyoo kudadeeki anataka kuharibu umeya kino na ubungo na mashtaka ya unMimi nadhani huyo anafanya provocation makusudi kuna reaction anaitaka toka CUF ili yeye na waliomtuma wapate playground ya kutengeneza defamation wanayoitaka kwa CUF,UKAWA na upinzani kwa ujumla.
Nashauri CUF waende nae kijanja,wasimpe hiyo reaction anayoitaka,bali watoe surprise moja tu wammalize.
Kama nyoka anasubiri umsogelee ili akurushie mate,basi wewe mmwagie mafuta toka mbali,akatike mauno peke yake huku roho ikimtoka!
Mamluki huyuu babu....Kwa zaidi ya mwaka professa hajaonekana ofisini (kaukana uwenyekiti) ghafla anasema amerejea. Hivyo ni ofisi gani itamvumilia mtu aliyejipa likizo (tunaambiwa kujiuzulu kwake kulikuwa hakuja idhinishwa) kwa mwaka mzima halafu anarudi ofisini kana kwamba hakuna lililotokea. Atengue barua asitengue ni dhahiri professa hakuwa kazini-alitoroka kazini kwa mwaka mzima na hili linatosha chama kumfukuza. Hili ofisi ya msajili inalifungia macho.
Doesn't help kushinei huyooo mamlukiHabari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Sidhani kama anafanya hivyo bureNajua mnamuenjoy tu mwenzenu. Mnafurahi anavojidhalilisha na kujichora.
jibu hoja usilete povu hapa lipumba amepoteza siku nyingi na hana mvuto kwa watanzania swali langu nililokuuliza ndo lipumba na ushawishi wake kwa watanzaniaunaongea pumba gani wewe?mimi sijakuletea mringanisho wa wabunge nimesema tu kuwa CUF au lipumba ni ngumu kuicha CUF
"Haramu ni haramu" tu sio halamu,naona unachanganya na Kizaramo.Halamu ni halamu tu wataelewana
Chama kinaelekea wapi? Au Profesa anaelekea wapi?Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi ya kumi na inasemekana atalala hapo ili kuondoa usumbufu kesho asubuhi na kuanza majukumu yake ya uenyekiti mapema kabisa.
Hiki chama kinaelekea wapi?
Yeye inamuuma nini kama wenzie watashughulika na ya cuf?Wewe inakuuma nini akishughulika na CUF?