utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Alindoka mwaka mzimaCuf bila Lipumba haina mvuto. Na huenda ndio mwisho wake
Bonge la professor hilo, hahahahahaha
Kwani Mapalala walimfanya nini?
Kipo mkuu, kinaitwa chama cha maprofesa .Hivi hakuna chama cha kutetea maprofesa Tanzania?
Mzigo mzito mpe mnyamwezi!!!Vijana alioingia nao ofisini ni wa jinsia gani?
basi nafikiri ni wakati wao kufanya kazi yao..Kipo mkuu, kinaitwa chama cha maprofesa .