Lipumba: Katiba mpya ipatikane baada ya uchaguzi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Chama cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa kuwa inahitaji muda wa kuijadili na si suala la kukurupuka.

Akifungua semina ya Baraza la Katiba ya CUF, Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, alisema kunahitajika utaratibu mbadala wa kuingia kwenye uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu.

Alisema ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki mchakato wa Katiba Mpya inayotokana na muafaka wa kitaifa uweze kukamilishwa baada ya uchaguzi mkuu.

"Ili kupata Katiba ambayo ni muafaka wa kitaifa katika mambo ya utawala, uchumi na siasa inahitaji muda hasa katika taifa lenye Muungano wa nchi mbili ambao kwa muda mrefu umekabiliwa na kero nyingi, huwezi kupata mwafaka wa kitaifa fastafasta," alisema Profesa Lipumba.

Aliipongeza Tume ya Jaji Warioba, kwa kufanya kazi kwa ujasiri mkubwa hasa ikizingatiwa pendekezo kuu la mfumo wa serikali tatu unakinzana na msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
 
Huyu mzee mimi nimesham-delete, ni Pro CCM na mnafiki namba 1 Tanzania. Kesho utasikia rais JK aongezewe miaka mi-2. CUF mtaiogopa Chadema mpaka lini. Poor Lipumba
 
Asante- Mwenyekiti wa CUF wa maisha na mgombe Urais wa kudumu CUF!! tumekusoma.
 
This guy is going nuts,I guess his senility problem is knocking the doors now,Did you remember to wear your diapers Lipumba a.k.a Le Professor Pumba?
 
This guy is going nuts by the day,I guess his senility problem is knocking the doors now,Did you remember to wear your diapers Lipumba a.k.a Le Professor Pumba?
 
Chama cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa kuwa inahitaji muda wa kuijadili na si suala la kukurupuka.

Akifungua semina ya Baraza la Katiba ya CUF, Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, alisema kunahitajika utaratibu mbadala wa kuingia kwenye uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu.

Alisema ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki mchakato wa Katiba Mpya inayotokana na muafaka wa kitaifa uweze kukamilishwa baada ya uchaguzi mkuu.

"Ili kupata Katiba ambayo ni muafaka wa kitaifa katika mambo ya utawala, uchumi na siasa inahitaji muda hasa katika taifa lenye Muungano wa nchi mbili ambao kwa muda mrefu umekabiliwa na kero nyingi, huwezi kupata mwafaka wa kitaifa fastafasta," alisema Profesa Lipumba.

Aliipongeza Tume ya Jaji Warioba, kwa kufanya kazi kwa ujasiri mkubwa hasa ikizingatiwa pendekezo kuu la mfumo wa serikali tatu unakinzana na msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Huyu jamaa sijui uwa ana ugonjwa wa akili? mie nashindwa hata kuelewa akili yake imekaa mkao gani, kiasi cha kumfanya aongee upuuzi kama huu kwa watu. Lakini ndo ttizo la ndoa ya hiki chama na ccm. Hofu ya ccm = na ya cuf.
 
Chama cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa kuwa inahitaji muda wa kuijadili na si suala la kukurupuka.

Akifungua semina ya Baraza la Katiba ya CUF, Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, alisema kunahitajika utaratibu mbadala wa kuingia kwenye uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu.

Alisema ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki mchakato wa Katiba Mpya inayotokana na muafaka wa kitaifa uweze kukamilishwa baada ya uchaguzi mkuu.

“Ili kupata Katiba ambayo ni muafaka wa kitaifa katika mambo ya utawala, uchumi na siasa inahitaji muda hasa katika taifa lenye Muungano wa nchi mbili ambao kwa muda mrefu umekabiliwa na kero nyingi, huwezi kupata mwafaka wa kitaifa fastafasta,” alisema Profesa Lipumba.

Aliipongeza Tume ya Jaji Warioba, kwa kufanya kazi kwa ujasiri mkubwa hasa ikizingatiwa pendekezo kuu la mfumo wa serikali tatu unakinzana na msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Haya ndio matatizo ya kufuata sera za Kiliberali!
 
Kwa kweli huyu binadamu anawadhalilisha sana maprofesa. What has gone wrong with his thinking capacity? Hakika huyu asingeweza kuelewana na Hamad.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unajua kuna baadhi ya mambo hata asiyejua kuandika na kusoma anamshinda huyu anayeitwa profesa! Kila kitu kinafanywa kwa muda uliopangwa, sasa alikuwa wapi kabla kupinga muda uliowekwa? Ni bora aingie ccm kuliko kuiua cuf na sasa anataka kuiua cdm! Shame on him!
 
Chama cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali kuhakikisha Katiba Mpya inapatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa kuwa inahitaji muda wa kuijadili na si suala la kukurupuka.

Akifungua semina ya Baraza la Katiba ya CUF, Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, alisema kunahitajika utaratibu mbadala wa kuingia kwenye uchaguzi mkuu katika hali ya amani na utulivu.

Alisema ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki mchakato wa Katiba Mpya inayotokana na muafaka wa kitaifa uweze kukamilishwa baada ya uchaguzi mkuu.

"Ili kupata Katiba ambayo ni muafaka wa kitaifa katika mambo ya utawala, uchumi na siasa inahitaji muda hasa katika taifa lenye Muungano wa nchi mbili ambao kwa muda mrefu umekabiliwa na kero nyingi, huwezi kupata mwafaka wa kitaifa fastafasta," alisema Profesa Lipumba.

Aliipongeza Tume ya Jaji Warioba, kwa kufanya kazi kwa ujasiri mkubwa hasa ikizingatiwa pendekezo kuu la mfumo wa serikali tatu unakinzana na msimamo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Ukishakuwa M-LIBERALI basi wenzio wanakufanyia wanavyo taka. Huyu sijui ni Prof wa aina gani??!!! CUF shitukeni. Jamaa anawaingiza chumba cha MALIBERALI mshughulikiwe!!!!!
 
ninaanza kupata mashaka kama tamko hili limepitiwa na Julias Mtatiro (Jembe).
 
Anaokoa jahazi la sisiemu linalo elekea kuzama, utasikia kaibukia msikitini akimwaga sera! Hovyo sana huyu jamaa.
 
Yeah...akiwa Pemba anasema hao waunguja. Akiwa unguja wale wapemba...akiwa Tanganyika anahubiri udini. Kinyonga wa hatari. Ni professor kama alivyo Morsi wa Misri
 
Back
Top Bottom