Lipumba: Odinga ananipa moyo kurudi ulingoni 2025

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".

Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
 
Lipumba anaamin yeye ndo mgombea tu katika Ccm branch yake
 
"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Odinga anakimbiza wapi????huyu mzee apumzike sasa
 
Kwa uwepo wa ccm wapinzani hamtashinda kamweeeee
Na haiwez tokea..
We professor kwanza Acha kupoteza muda wako labda kama unashiriki kwa kuzuga tu

Ova
 
I hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
 
Kuna kizazi flani hivi kina tamaa sana.

Labda ni maisha magumu ambayo waliishi utotoni.

Yaani ukiangalia mafisadi wengi hapa Nchini umri hautofautiani sana.

Wewe angalia umri wao tu.
 
Huy
"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".

Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Huyo ngosha akachunge mbuzi huko unyanyembe, urais sio level yake
 
Kkiongozi
I hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
Ni vizur kutumia lugha Pendwa
Unajua kiongozi sio dhambi eti
 
We mzee pigania katiba mpya kwanza, tunakumbuka ulichokifanya wakati wa UKAWA na ulichotufanyia wana CUF hadi leo chama chetu pendwa hakina uelekeo kabisa, zote hizo zilikuwa ni juhudi zako - tumekuweka kiporo.
Uporo wa wali ndondo au 🏃
 
I hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
Ndoto za porini,sawa na Simba aliye lala kuota ataamka akute swala kala jirani yake 🤔
 
Afanye hivyo ili aweke rekodi ambayo haitafikiwa na mgombea yeyote mwingine, lakini sio "ndoto" ya kwenda ikulu.
 
Kuna kizazi flani hivi kina tamaa sana.

Labda ni maisha magumu ambayo waliishi utotoni.

Yaani ukiangalia mafisadi wengi hapa Nchini umri hautofautiani sana.

Wewe angalia umri wao tu.
Intellentent observation
Hata watoto waliozaliwa 1981 wanae tamaa
Au nasema uongo ndugu zangu???
 
Back
Top Bottom