MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.