MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Lipumba anaamin yeye ndo mgombea tu katika Ccm branch yake"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Odinga anakimbiza wapi????huyu mzee apumzike sasa"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Odinga anakimbiza wapi????huyu mzee apumzike sasa
Huyo ngosha akachunge mbuzi huko unyanyembe, urais sio level yake"Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025".
Maneno ya Prof Ibrahim Lipumba asubuhi hii kwenye mjadala BBC.
Ni vizur kutumia lugha PendwaI hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
Uporo wa wali ndondo au 🏃We mzee pigania katiba mpya kwanza, tunakumbuka ulichokifanya wakati wa UKAWA na ulichotufanyia wana CUF hadi leo chama chetu pendwa hakina uelekeo kabisa, zote hizo zilikuwa ni juhudi zako - tumekuweka kiporo.
Ndoto za porini,sawa na Simba aliye lala kuota ataamka akute swala kala jirani yake 🤔I hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.
Intellentent observationKuna kizazi flani hivi kina tamaa sana.
Labda ni maisha magumu ambayo waliishi utotoni.
Yaani ukiangalia mafisadi wengi hapa Nchini umri hautofautiani sana.
Wewe angalia umri wao tu.
Hahahaa hahahaaa haahaI hope and I still believe that one day Lipumba will be our president and us people from kaliua,we will be getting good treatment from the government of Tanzania.