Lipumba hawezi kupata hata mbunge mmojaMbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
acha kujidanganya wewe,Kama wana taka nchi iwe kama Nali basi wajaribu..
Umesahau sisi Wadanganyika ni mabingwa wa kuandika nyuma ya keyboard tu.acha kujidanganya wewe,
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,Chezo limeshtukiwa mapema sana na limebuma
yap ni kweli hasa vidole vinapotaka kuupelekesha ubongoUmesahau sisi Wadanganyika ni mabingwa wa kuandika nyuma ya keyboard tu.
Huyo ni kumpa kitu inaumaLipumba mvurugaji tu hatoshi hata udiwani
Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Wewe zwazwa watu wakiamua hao mgambo watafanya niniacha kujidanganya wewe,
Haki itendeke, kama kulikuwa na uvunjifu wa sheria na kanuni wahusika waadhibiwe kwa kanuni na sheria hizo.Waoga hao!!
HILO wanalolitafuta safari hii watalipata.Kama wana taka nchi iwe kama Nali basi wajaribu..