Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Niambie kwa mujibu wa sheria gani???? Kilaza mkubwa wa mataga wewe
Ndio wale wale mkishindwa HOJA mnakimbilia matusi. Binafsi sina muda wa kujibizana matusi kwenye hili jukwaa lenye hadhi na heshima ya kimataifa. Kama una hoja zitoe ili wasomaji na wana JF wapate faida ya hii mijadala. Siyo matusi, I am very sorry for that. Bye.
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,

Isipokuwa yule:-
1. Aliyekusanya wanachama nchi nzima pale dodoma wakati anachukuwa form wakiwemo
- Mawaziri nk

2. Aliyetangaza kupitia television zote inchini
- uchukuwaji wake form
- mabarabara alojenga
- miradi mikubwamikubwa nk

Huyu yeye hakufanya kampeni ila alikuwa anatangaza tu!
 
Lissu atakatwa na hakuna Mtanzania atatoa pua yake nje kuingia barabarani kudai haki ya huyo mbeligiji mwenye damu ya kikenya.

Hapo ndo utajua Watanzania walivyo wanafiki Sasa.
Mtanzania akikupigia makofi tenga muda uyatathimini hayo makofi yalikuwa ya Aina gani na maudhui gani.
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Ikiwa mapingamizi ni ya kweli na ni kweli yanamhusu acha Awekewe atakuwa hafai kwa nafasi hiyo, na ikiwa ni uzushi atashinda kwani yeye ni mwanasheria msomi na mzuri na mzoefu.

Msianze kulialia na kutafuta huruma ya wananchi wakati kazi iliyokuwepo ni kutafuta wadhamini ninyi mkajipa ya ziada ya kuhutubia matusi na kuchoma ofisi zenu. Sasa atathibitisha ikiwa ni kweli Magufuli alisema auawe muda mfupi kabla ya NI YEYE kushambuliwa DODOMA.
 
Isipokuwa yule:-
1. Aliyekusanya wanachama nchi nzima pale dodoma wakati anachukuwa form wakiwemo
- Mawaziri nk

2. Aliyetangaza kupitia television zote inchini
- uchukuwaji wake form
- mabarabara alojenga
- miradi mikubwamikubwa nk

Huyu yeye hakufanya kampeni ila alikuwa anatangaza tu!
Jamani, HOJA hapa ni kwamba kama mpiga kura una ushahidi wa kutosha kumuwekea mgombea yoyote PINGAMIZI, MUWEKEE; hiyo ni haki yako kisheria. Kama unao ushahidi utakao iridhisha Tume na Mahakama GO AHEAD AND DO IT. PERIOD
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!

Wenye mapenzi mema nanyi hata kama tuko upande wa pili tulipowashaurini kuwa kwa sasa Mgombea wenu asirejee mlitupuuza. Mtajibeba sasa!!!
 
Kama ni hivo mbona wote wanapingamizi maana wapo waliyofanya kampeni miaka yote 5 pekee yao,juzi wamewatumia viongozi wa dini na wassanii kuwapigia kampeni, wamegawa rushwa makanisani miaka yote. Kwa kigezo hicho wote wanakosa sifa
Kama kwa mawazo yako unadhani wamevunja Sheria ya Uchaguzi, GO AHEAD NA UWAWEKEE PINGAMIZI as long as umo kwenye Daftari ala Kudumu la Wapiga Kura. Siyo maneno tu humu JF jamani.
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Alianzaje kampeni mapema wakati sio mgombea!!
 
Jamani, HOJA hapa ni kwamba kama mpiga kura una ushahidi wa kutosha kumuwekea mgombea yoyote PINGAMIZI, MUWEKEE; hiyo ni haki yako kisheria. Kama unao ushahidi utakao iridhisha Tume na Mahakama GO AHEAD AND DO IT. PERIOD

Ni upumbavu tu.

Mpira huchezwa uwanjani sio mezani kwa kamisaa

Watu wapige kura kwa uhuru, amani na matokeo yatolewe kwa haki.

Hizi hisia zakijinga kutaka kuzuwia wengine ni kuhatarisha usalama na amani ya Watanzania

Hayawi hayawi itafika wakati yatakuwa.

Majuto ni mjukuu
 
Hivyo ndivyo Sheria inasema. Kama ni upumbavu, basi hiyo ni hoja nyingine na mpya.
 
Hata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.
unajua kampeni wewe? kampeni ni nini? wapi lissu katoa sera za chama? wewe na lissu nani anajua anachokifanya lissu ni brain anajua tu mtaingia kichwa kwamba alifanya kampeni imekula kwenu pakubwa
 
Siasa inahitaji science siku hizi.

Science gani wakati tume mmeiagiza kuja na idadi ya kubumba ya wapiga kura? Watanzania tunakaribia 60m, huku idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa tume ni 29m+. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote kuwa wamejiandikisha kupiga kura? Na ni kweli kuwa watu wenye miaka 18+ ni nusu sawa ya walio chini ya miaka hiyo? Kama sio Magufuli na ccm wamejiandaa kutangaza matokeo ya uongo, na kuuingiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu ni nini zaidi?
 
unajua kampeni wewe? kampeni ni nini? wapi lissu katoa sera za chama? wewe na lissu nani anajua anachokifanya lissu ni brain anajua tu mtaingia kichwa kwamba alifanya kampeni imekula kwenu pakubwa
Majibu ya hayo maswali atayajibu Lissu au Amsterdam siyo mimi. Tusubiri siku ya siku gTurn!
 
juzi kwenye tamasha ilikua inawekwa audio ya magufuli akiomba kura tutaanzia hapo mwaga unga ni mwage mboga maji lazima muite mmma dadeki
 
Kwani chadema kampeni zao watasaidiwa na Nan kama sio serikal!????? Mbona mnaanzisha lawama za kijinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom