Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,

Kwa taarifa yako, aliyekataza mikutano vya wazi kashairuhusu, hivyo Lisu alikuwa anaua ndege wawili kwa jiwe moja, kusaka wadhamini, na wakati huo huo kufanya mikutano ya kisiasa. Na yuko sahihi njaa 100%. Inaonekana hili Katazo haramu la Magufuli kwa mikutano ya hadhara mmeons ni sawa na mlemaa, kiasi mkiona mtu anafanya mikutano ya wazi ya kisiasa iliyopo kisheria mnaodhani ni kampeni.

Badala ya kukaa kizoba kubaki kumtetea Magufuli kwakuwa hawezi siasa za ushindani, ni vyema ukajiuliza inawezekana vipi nchi yenye wananchi wanaokaribia 60m, iwe na wapiga kura 29m+ kwa mujibu wa NEC? Inawezekana vipi kila watanzania wawili mmoja awe amejiandikisha kupiga kura? Kwa hamasa ipi ya kisiasa iliyopo nchini, mpaka idadi ya wapiga kura iwe ni ya watanzania wote wenye umri wa miaka 18+?
 
Kama mnaipenda nchi yenu tendeni haki kila mtangaza nia ya urais aruhusiwe kutangaza sera za chama chake ama sivyo / vinginevyo mnaweza kuzalisha maafa bila sababu!! Majuto ni mjukuu!
 
vyema ukajiuliza inawezekana vipi nchi yenye wananchi wanaokaribia 60m, iwe na wapiga kura 29m+ kwa mujibu wa NEC? Inawezekana vipi kila watanzania wawili mmoja awe amejiandikisha kupiga kura
NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193
RUCCIOct 13, 2015

Mkuu, kama 2015 wapiga Kura walikuwa zaidi ya milion 23, Iweje leo wasifike idadi hiyo mkuu
 
Kwa kuwa mahakama ipo chini yao tutaona itakavyo kuwa.... Nguvu ya umma labda Tz haipo...
Kwa Tanzania hii na hawa wadanganyika. Atakatwa halafu watanganyika watageuka na kuanza kuponda hutaamini mkuu.

Mzee Kenyatta aliwahi kusema (1964) kwamba Nyerere anongoza maiti (watanzania ni sawa na maiti).

So sad to be a tanzanian.
 
8

Si tuanzie wale wa dodoma na matangazo kupitia television zoten
Umezipitia vizuri, sheria na kanuni hizo kweli kabla ya kuweka post yako hapa? Jibu kama ni ndiyo dadavua na kama jibu lako ni hapana subiri wadadavuzi wa sheria.
 
NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193
RUCCIOct 13, 2015

Mkuu, kama 2015 wapiga Kura walikuwa zaidi ya milion 23, Iweje leo wasifike idadi hiyo mkuu

Narudia tena, watanzania tunakaribia 60m wala hatujafika rasmi. Hivyo unapokuwa na wapiga kura 29m+ ina maana nusu ya watanzania wanaobakia ambao nao ni 29m wako chini ya miaka 18. Kwa akili ya kawaida inawezekana vipi idadi ya watu wazima kuwa sawa na watoto? Hilo ni moja, kama hiyo idadi ni ya kweli, ina maana kila watanzania wawili mmoja kujiandikisha kupiga kura. Ama kwa maneno marahisi kila mtu mwenye miaka 18 na kuendelea hapa nchi kajiandikisha kupiga kura. Je hilo ni kweli? Hilo ni la pili. Nataka unidhibitishie pasipo kuacha shaka, kuwa watu wote wazima nchi hii wamejiandikisha kupiga kura.

Nasubiri urudi na majibu, maana wenzako wote kila nikiwaambia kuhusu hili hawarudi, na kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi hawajaweka idadi ya wapiga kura. Unajua ni kwanini, kuna idadi ambayo inatakiwa kupikwa ili kumtangaza Magufuli kuwa mshindi.
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Kuna jambo linanitia shaka juu ya uelewa wa baadhi ya watanzania. Kanuni inasema nenda ukatafute wadhamini, halafu mtu huyu anapita na loud speakers kuitisha mikutano ya hadhara na kuhutubia as if yuko kwenye kampeni tena akimkashifu aliyeko madarakani.

Ukimwambia umekiuka kanuni anakuwa mkali na mbishi kana kwamba anaonewa. Halafu ni mwanasheria nguli anajiita.

Huyu zinamtosha kweli? Halafu atuuongoze. Mbona akina Membe wamepita kimya kimya hadi mwisho na wadhamini wamepata? Wewe nani uende kinyume na kanuni halafu uachwe tu?

Asichokijua bwana mkubwa huyu ni kuwa atapopita mara ya pili hatakuwa ameshachujuka.

Siku zote nasema CHADEMA inanajisiwa na huyu "mbwa wa kisasi" halafu chama kinaonekana hakifai kwa ajili yake tu.
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Na wewe utasema umeandika,yaani huu uandishi wa makorokocho peleka FB
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Yaani machadema mnachekesha sana!! Lissu kavunja sheria waziwazi halafu mnajenga defence ya mapema ili asiwekewe pingamizi?? Hell no, alipashwa kuheshimu sheria na kanuni za uchaguzi, sio kuropoka kama kasuku na kuanza kampeni kabla ya kipyenga cha tume, kwa hilo hata mseme nini wagombea wana haki ya kuweka pingamizi
 
Kama wana taka nchi iwe kama Nali basi wajaribu..
Jaribu wewe uone sijui Nali ndio nchi gani!! hapa hutamwaga damu ya mtu wala nini, jaribu hata kumwaga mkojo hadharani uone kazi, c. h.i z wewe
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Hayakusikia maneno ya Lema, aliwaambia mnarambishwa Chloroquine iliyopakwa sukari!! Lazima tume imkate tu! Kwani Lissu ni nani mpaka awe juu ya sheria??
 
Back
Top Bottom