Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Hata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.
 
Waambie wamefeli kabla hawajaanza!!!

CCM hawatoki mwaka huu ata wafanyeje, Huku kuna Tundu Antiphas Lissu na nguvu ya umma kule kuna Mwamba Kigogo 2014 the genius aliyekamata teknolojia yote Tanzania!!

Tundu Antipas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025. Watake wasitake!!
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
tupe tafsiri ya kikatiba
 
Hata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.
Muwekee na Magufuli pia tafuta clip akiongea na wana CCM baada ya kuchukua fomu ya NEC pale White House Dodoma. Pia pitia na official kurasa yake ya facebook utaona kampeni yake ya kutosha

Pia muwekee pingamizi na Membe maana alivyokuwa na Maalum Seif Zanzibar juzi, alitoa ahadi kemkem ikiwepo kuwatoa masheikh!!
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Kwa vigezo hivyo hata Magufuli anweza kuenguliwa kabisa!
 
Muwekee na Magufuli pia tafuta clip akiongea na wana CCM baada ya kuchukua fomu ya NEC pale White House Dodoma. Pia pitia na official kurasa yake ya facebook utaona kampeni yake ya kutosha

Pia muwekee pingamizi na Membe maana alivyokuwa na Maalum Seif Zanzibar juzi, alitoa ahadi kemkem ikiwepo kuwatoa masheikh!!
Wewe wawekee hao! Mimi binafsi nimeamua kushughulika na Lissu. Ili twende sare, wewe muwekee yoyote unayetaka. Kila mtu na haki nautashi wake. Hapa ni suala la sheria SIYO UNAZI WALA USHABIKI Lord denning!
 
Cuf hata udiwani awapati mwaka huu, lipumba na mbatia wasubirie ubunge wa kuteuliwa na sio wa kuchaguliwa
 
Kila nchoandika nafuta.
Itoshe kusema tunataka wote waliotia nia na kupitishwa na vyama vyao waingie kwenye kampeni tusikilize sera zao.
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Hilo neno kuanza kampen kabla liko kwenye sheria ipi? Je magufuli na genge lake siku walipochukua form na kujikusanya pale dodoma na kuanza kuelezea hayo wanayoyaita mafanikio hàikuwa kampeni jiongeze wewe.
 
Wewe wawekee hao! Mimi binafsi nimeamua kushughulika na Lissu. Ili twende sare, wewe muwekee yoyote unayetaka. Kila mtu na haki nautashi wake. Hapa ni suala la sheria SIYO UNAZI WALA USHABIKI Lord denning!
Niambie kwa mujibu wa sheria gani???? Kilaza mkubwa wa mataga wewe
 
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Mbona kuna mgombea alianza kampeni tangu January 2016, hamsemi? Hata juzi tu kwenye kampeni alinunua jogoo laki!!
 
Wewe wawekee hao! Mimi binafsi nimeamua kushughulika na Lissu. Ili twende sare, wewe muwekee yoyote unayetaka. Kila mtu na haki nautashi wake. Hapa ni suala la sheria SIYO UNAZI WALA USHABIKI Lord denning!
Kama ni hivo mbona wote wanapingamizi maana wapo waliyofanya kampeni miaka yote 5 pekee yao,juzi wamewatumia viongozi wa dini na wassanii kuwapigia kampeni, wamegawa rushwa makanisani miaka yote. Kwa kigezo hicho wote wanakosa sifa
 
Back
Top Bottom