Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,675
- 903
UsitufokeeTume muwe makini msije tuletea machafuko Tundu lissu mpitisheni wakapambane uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsitufokeeTume muwe makini msije tuletea machafuko Tundu lissu mpitisheni wakapambane uwanjani
Tulijua tu haya yatatokea. Ni kazi kwao CHADEMA na mgombea wao kujiandaa kwa hili. Ila nchi itatikisika.Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Hakuna anayezuiliwa kugombea, ni haki ya kila Mtanzania kuweka pingamizi kwa mgombea anayemwona hafai kwa vigezo na masharti ya NEC.Ni upumbavu tu.
Mpira huchezwa uwanjani sio mezani kwa kamisaa
Watu wapige kura kwa uhuru, amani na matokeo yatolewe kwa haki.
Hizi hisia zakijinga kutaka kuzuwia wengine ni kuhatarisha usalama na amani ya Watanzania
Hayawi hayawi itafika wakati yatakuwa.
Majuto ni mjukuu
Nchi itatikisika??? HahahahahhahhahhahahhahhaTulijua tu haya yatatokea. Ni kazi kwao CHADEMA na mgombea wao kujiandaa kwa hili. Ila nchi itatikisika.
nadhani ulinielewa nilichoandika, tusipotezeane mdaMakamu Mwenyekiti alikuwa anatembelea Wanachama na Mashabiki wake na kuomba UDHAMINI.
Magufuli, Lipumba, Mbatia, Maalim wamekuwa wakitembelea Wanachama na Mashabiki wao na kugawa misaada na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unao wataja.
Kigwangala aligawa pikipiki Jimbo Zima kimya.
Tulia misaada na zawadi zake mpaka anazunguka na majeneza kule Mbeya, hakuna aliyenyanyua mdomo wewe wala hao unaowasema.
Magufuli na ziara za kichama kwa mwamvuli wa Serikali anagawa pesa na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unaowasema kuwa hizo ni KAMPENI KWA VYAMA VYAO.
Mwambie Tundu awawekee mapingamizi ni haki yake. Hapa sio NEC unakuja kushtaki au kusema.Makamu Mwenyekiti alikuwa anatembelea Wanachama na Mashabiki wake na kuomba UDHAMINI.
Magufuli, Lipumba, Mbatia, Maalim wamekuwa wakitembelea Wanachama na Mashabiki wao na kugawa misaada na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unao wataja.
Kigwangala aligawa pikipiki Jimbo Zima kimya.
Tulia misaada na zawadi zake mpaka anazunguka na majeneza kule Mbeya, hakuna aliyenyanyua mdomo wewe wala hao unaowasema.
Magufuli na ziara za kichama kwa mwamvuli wa Serikali anagawa pesa na ahadi kedekede haukusema wewe na hao unaowasema kuwa hizo ni KAMPENI KWA VYAMA VYAO.
utakuwa umechoka peke.yako, kaza buti maisha si lisuSubiri uone ndipo utakapo amini. Sisi tumechoka hatuna cha kupoteza kwenye uongozi huu wa kibaguzi
Nitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?Hivyo ndivyo Sheria inasema. Kama ni upumbavu, basi hiyo ni hoja nyingine na mpya.
Haya leta wewe idadi ya ufipa ya watu wanaofaa na kustahili kupiga kura.Science gani wakati tume mmeiagiza kuja na idadi ya kubumba ya wapiga kura? Watanzania tunakaribia 60m, huku idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa tume ni 29m+. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote kuwa wamejiandikisha kupiga kura? Na ni kweli kuwa watu wenye miaka 18+ ni nusu sawa ya walio chini ya miaka hiyo? Kama sio Magufuli na ccm wamejiandaa kutangaza matokeo ya uongo, na kuuingiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu ni nini zaidi?
Nitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?OK. Tusubiri. Hasira na mapovu ya nini gTurn!?
Ni YEYE MbeligijiNitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?
sijakuelewa na sitaki kukuelewa kwakuwa una viashiria vya upumbavu, hebu tulia tusiambukizane uzwazwa plzKwa taarifa yako, aliyekataza mikutano vya wazi kashairuhusu, hivyo Lisu alikuwa anaua ndege wawili kwa jiwe moja, kusaka wadhamini, na wakati huo huo kufanya mikutano ya kisiasa. Na yuko sahihi njaa 100%. Inaonekana hili Katazo haramu la Magufuli kwa mikutano ya hadhara mmeons ni sawa na mlemaa, kiasi mkiona mtu anafanya mikutano ya wazi ya kisiasa iliyopo kisheria mnaodhani ni kampeni.
Badala ya kukaa kizoba kubaki kumtetea Magufuli kwakuwa hawezi siasa za ushindani, ni vyema ukajiuliza inawezekana vipi nchi yenye wananchi wanaokaribia 60m, iwe na wapiga kura 29m+ kwa mujibu wa NEC? Inawezekana vipi kila watanzania wawili mmoja awe amejiandikisha kupiga kura? Kwa hamasa ipi ya kisiasa iliyopo nchini, mpaka idadi ya wapiga kura iwe ni ya watanzania wote wenye umri wa miaka 18+?
Nani akufokeee wewe choco bimbiUsitufokee
kumbe ni mipiga kelele tu??Alianzaje kampeni mapema wakati sio mgombea!!
si mliona raha kusindikizwa na polisi kila mkoa,Isipokuwa yule:-
1. Aliyekusanya wanachama nchi nzima pale dodoma wakati anachukuwa form wakiwemo
- Mawaziri nk
2. Aliyetangaza kupitia television zote inchini
- uchukuwaji wake form
- mabarabara alojenga
- miradi mikubwamikubwa nk
Huyu yeye hakufanya kampeni ila alikuwa anatangaza tu!
Kama wana taka nchi iwe kama Nali basi wajaribu..
wasukuma wanaanza kujifanya wana hatimiliki na hii nchi.HILO wanalolitafuta safari hii watalipata.
Hii ni nchi yetu sote.
We shall overcome.
wewe jitekenye mwenyewe tu uone utacheka na naniMbona kuna mgombea alianza kampeni tangu January 2016, hamsemi? Hata juzi tu kwenye kampeni alinunua jogoo laki!!
ukijiongeza wewe yatosha,Hilo neno kuanza kampen kabla liko kwenye sheria ipi? Je magufuli na genge lake siku walipochukua form na kujikusanya pale dodoma na kuanza kuelezea hayo wanayoyaita mafanikio hàikuwa kampeni jiongeze wewe.