Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Haya leta wewe idadi ya ufipa ya watu wanaofaa na kustahili kupiga kura.
Tayari nyumbu mmeshaanza kuisoma namba. Hivi kwa akili yako toka uchaguzi wa 2015 waTz wangapi walikuwa na Umri kati ya 13 hadi 17 wanastahili kuongezwa. Wangapi hawakujiandikisha 2015 safari hii wamejiandikisha.
Nenda Takwimu ukajiridhishe umri wa waTZ.
Narudia tena, watanzania tunakaribia 60m. Iwapo wapiga kura ni 29m+, hiyo ni nusu kabisa ya watanzania wote. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote wakawa na miaka 18+? Halafu kibaya zaidi watu wote wenye miaka 18+ wakawa wamejiandikisha kupiga kura! Hivi kuna wajinga wa kupewa idadi ya hiyo bado dunia hii? Kisha tuamini matokeo yatakayotangazwa na tume yenye idadi ya wapiga kura wa uongo?