Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

Uchaguzi 2020 Lipumba, Shibuda kutumika kumdhibiti Lissu asigombee Urais?

ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Give enough rope to a fool he will hange himself.

MAGUFULI4LIFE.
 
Lissu atakatwa na hakuna Mtanzania atatoa pua yake nje kuingia barabarani kudai haki ya huyo mbeligiji mwenye damu ya kikenya.

Hapo ndo utajua Watanzania walivyo wanafiki Sasa.
Mtanzania akikupigia makofi tenga muda uyatathimini hayo makofi yalikuwa ya Aina gani na maudhui gani.
Mwaka 2020 watanzania wamebadilika usiwafananishe na zamani hata congo Somalia zamani ilikuwa kama Tanzania
 
Lissu kushindana na Magufuli ni lazima, kama Magufuli anamuogopa Lissu asubiri wananchi waamue. Wakimkata Lissu tutaingia barabarani nchi NZIMA. Siku zote za kampeni, tutakua barabarani KUDAI #tumehuruyaUchaguzi.
Safari hii hatutanii. Hapatatosha.
Wajaribu kumkata Lissu waone kama patakua na Uchaguzi.
Tutatapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe kama Syria.
Miaka mitano ya MATESO na DHULMA imetosha. #SASABASI. #NIYEYE
#LISSURAIS2020
 
CCM wamewadharau watanzania hawajui kuwa hata Sudan, Tunisia Egypt walikuwa kama CCM siku wananchi walichoka mambo yalibadilika na jeshi kuwachenjia viongozi
 
juzi kwenye tamasha ilikua inawekwa audio ya magufuli akiomba kura tutaanzia hapo mwaga unga ni mwage mboga maji lazima muite mmma dadeki
We VIPI? Hata kama ni ushahidi, hizo audio kaweka mtu mwingine kwa matashi yake, huyo mwingine anahusika vipi? Mbona unakuwa mzito kuelewa haya mambo!?
 
CCM wamewadharau watanzania hawajui kuwa hata Sudan, Tunisia Egypt walikuwa kama CCM siku wananchi walichoka mambo yalibadilika na jeshi kuwachenjia viongozi
Nasikia kaharufu kauchochezi kwa nia na lengo la kuvunja amani yetu.
 
Mpango ungekuwa kila ukiwekewa pingamiza unaondolewa hata Jpm asingegombea, maana hats yeye anawekewa pingamizi
 
hilo tamasha liliendeshwa na pole pole ndio maana kila msanii alifata maelekezo ya kumuombea mzee baba kura haya ni lingine linakuja maaskofu na mashehe kesho kauudhurie basi mwna lumumba
We VIPI? Hata kama ni ushahidi, hizo audio kaweka mtu mwingine kwa matashi yake, huyo mwingine anahusika vipi? Mbona unakuwa mzito kuelewa haya mambo!?
 
hilo tamasha liliendeshwa na pole pole ndio maana kila msanii alifata maelekezo ya kumuombea mzee baba kura haya ni lingine linakuja maaskofu na mashehe kesho kauudhurie basi mwna lumumba
Tutakuwepo kwa sababu MUNGU KWANZA haya mengine yatafuata.
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa nchi jamani,ingawa kila mtu ana haki ya kuchaguliwa,kwa nini hatuelewi?
 
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.

Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Tutawaua haki ya nani! Wasicheze na sisi raia tuna jambo letu muhimu na Tundu Lissu
 
Idara ya Usalama Ingeshauri na kuhakikisha tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja tu, upuuzi wanaofanya kuisaidia CCM ni kuhujumu taifa
 
Huyu atakuwa mgombea wenu wa kudumu, nchi haiwezi ongozwa na wavuta bangi
Wewe Mbona unavuta Bangi kwa cyprian Musiba ambaye ni mshauri mkuu wa mtukufu mambo ya propaganda za kijinga jinga
 
Narudia tena, watanzania tunakaribia 60m. Iwapo wapiga kura ni 29m+, hiyo ni nusu kabisa ya watanzania wote. Inawezekana vipi nusu ya watanzania wote wakawa na miaka 18+? Halafu kibaya zaidi watu wote wenye miaka 18+ wakawa wamejiandikisha kupiga kura! Hivi kuna wajinga wa kupewa idadi ya hiyo bado dunia hii? Kisha tuamini matokeo yatakayotangazwa na tume yenye idadi ya wapiga kura wa uongo?
Wewe ndiyo unapanga umri wa binadamu???
 
Hata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.
Hujaweka na namba ya simu upate uteuzi kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom