Lipumba yuko Magomeni leo, kulikoni baridi hivi?

Tukiitisha tena Bunge la Katiba lazima Lipumba nae awemo lakini safari hii Nyumba hawatamfuata akiwatoa nje
 
Tukiitisha tena Bunge la Katiba lazima Lipumba nae awemo lakini safari hii Nyumba hawatamfuata akiwatoa nje

Kwa sasa ungeleta japo picha tuone hilo nyomi huko Magomeni tujiridhishe relevancy yake kama ingalipo
 
Watanzania tumeshastuka kwba mwanzoni tulilishwa pumba za sifa pumba za Lipumba eti kwamba yeye ndiye mchumi mahili sana duniani.

Na tukadanganywa kuwa Lipumba ndiye mshauri wa mambo ya uchumi wa USA, Uganda, Rwanda, SA na nchi nyingine nyingi.
 
Chadema wamejificha uvunguni, wanasubiri mabomu

CUF ilikuwa inatembelea pumzi ya Maalim sief na Wapemba. Kwa bahati mbaya Lipumba na uprofesa wake hakujua ukweli huu, akakubali kutumika kama toilet paper akamzingua Maalim Seif kwa mbeleko ya dola. Maalim Seif akawahamishia Wapemba kwa Zito kabwe.

Leo hii Lipumba kaipotezea CUF mvuto moja kwa moja. Hata mkutano wa leo atadhihisha ni kwa jinsi gani kaipotezea mvuto CUF. Zito naye asije akakosea akawapandishia kibezi Wapemba, atajua hajui.
 
Watanzania tumeshastuka kwba mwanzoni tulilishwa pumba za sifa pumba za Lipumba eti kwamba yeye ndiye mchumi mahili sana duniani.

Na tukadanganywa kuwa Lipumba ndiye mshauri wa mambo ya uchumi wa USA, Uganda, Rwanda, SA na nchi nyingine nyingi.

Ahaa ahaaa, nakumbuka ule utapeli wavaa kobazi walikuwa wanautetea ile mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…