Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
- Thread starter
- #21
Yaan unamaanisha Chumba, Choo & Jiko X units/apartments 3??Kama uko sehemu nzuri, jengautakuja nishukuru baadae.. Hiyo milioni 20 kama unasimamia vizuri kabisa, unaweza ukajenga chumba, choo na kijiko walau vi3 mpaka vi5 hivi.
Kuna maeneo chumba, choo na jiko lake kodi inaanzia laki na kuendelea.. Na hii kadri mji unavyokuwa kodi inaongezekana, thamani ya eneo husika na kuendelea.. Miaka 10 ijayo hiyo sehemu thamani yake sio milioni 20 tena inaweza ikawa mara 5 yake.
Kwa hiyo 20mil only? Kwamba kila moja iwe 6.6m labda kuanzia boma, kupaua, finishing ndani, finishing nje, materials na labor charges?