Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v/s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha)

Yaan unamaanisha Chumba, Choo & Jiko X units/apartments 3??

Kwa hiyo 20mil only? Kwamba kila moja iwe 6.6m labda kuanzia boma, kupaua, finishing ndani, finishing nje, materials na labor charges?
 
Nyumba ya 20m sidhani kama itakupa 200,000/- kwa mwezi guaranteed. Ungesema kiuhalisia kiwanja kipo wapi na utaijengaje..
Pia kumbuka haitakaliwa continuously kwa miaka 10 na itahitaji marekebisho.
 
Yaan unamaanisha Chumba, Choo & Jiko X units/apartments 3??

Kwa hiyo 20mil only? Kwamba kila moja iwe 6.6m labda kuanzia boma, kupaua, finishing ndani, finishing nje, materials na labor charges?
Inategemea unajenga kwa namna gani,
Mimi najenga hapo bila tabu na ikipungua saana pesa ya kodi ya miezi 6 ya mwanzo inamalizia, lakini kwa mimi hiyo milioni 20 inatosha kabisa.
 
Nyumba ya 20m sidhani kama itakupa 200,000/- kwa mwezi guaranteed. Ungesema kiuhalisia kiwanja kipo wapi na utaijengaje..
Pia kumbuka haitakaliwa continuously kwa miaka 10 na itahitaji marekebisho.
Haya maeneo nayoishi vyumba ndio bei yake hiyo. Yaani chumba na choo (single master) laki, so sebule na jiko navyo laki tu.

Labda doubt iwe kwamba TZS 20,000,000 inaweza kumaliza Chumba, Sebule, Choo na jiko?
 
Unajidanganya
 
1.Ukifunga boda Moja kwa siku hesabu 10000* miezi 13 na week mbili piga inakuja ngapi
 
Haya maeneo nayoishi vyumba ndio bei yake hiyo. Yaani chumba na choo (single master) laki, so sebule na jiko navyo laki tu.

Labda doubt iwe kwamba TZS 20,000,000 inaweza kumaliza Chumba, Sebule, Choo na jiko?
Eneo i.e location.
Siyo dar yote master sebule ni 100,000
 
Treasury bonds 25 years @ 16% , then reinvest gawio lako na ukiweza ongeza 1 m kila mwaka, baada ya 5 years itakuwa na 50m, 10 years 120m na 25 years utakuwa na 1.2 billion 😂, kumbuka no taxes, kazi ngumu na inflation very unpredictable
 
Inategemea unajenga kwa namna gani,
Mimi najenga hapo bila tabu na ikipungua saana pesa ya kodi ya miezi 6 ya mwanzo inamalizia, lakini kwa mimi hiyo milioni 20 inatosha kabisa.
Duh seriously?
 
Liquid asset ukitazama kwa kina zinarisk kubwa sana endapo agreed rate iko fixed bila kuzingatia athari hasi ktk inflation rate or prices,kny real estate hizo factor zinajiaddress naturally mfano NHC wananyumba za miaka ya 50 ambazo kwa sasa zinareflect mkt price sasa bila kujiridhisha usahihi wa hizo factors usiwekeze kny Liquid asset
 
Tatizo hio nyumba ya 20M unaijenga aje..?
Gharama za ujenzi zipo juu sana.

Ili upate atleast 2.4M kwa mwaka investment ya jengo isipungue 50M
 
Kwani liquid assets unaweka miaka 50 mkuu? Si unaweka miaka 2 ama 3, kisha unaweka tena. Miaka 2 ama 3 hakuna inflation kubwa sana ya kuharibu thamani ya fedha zako kwa Tanzania. Inflation ina matokeo makubwa sana kwenye chumi zilizoendelea huko ulaya na Marekani.

Pili usisaha, ile riba unayopata ndio inatumika kama ulinzi wa thamani ya fedha zako, udiangalie kiasi ulichoweka tu, angalia na riba uliyolipwa. Kama unaweka 10m ukapata 1m maana yake mwakani thamani ya pesa yako itakua 11m, tayari fedha yako imelindwa.
 
Kuna wapangaji wakitoka tu yaani karibu hata robo ya hela ya mpangaji mpya unairudisha kwenye matengenezo. Vitasa ulimpa funguo tatu tatu anarudisha Nyumba hakuna hata mmoja, kuta zote katoboa au watoto wamechora chora na kuchafua.
Hiyo ni athari ya mikataba dhaifu na kutawaliwa na ujamaa kichwani mtu anaharibu vp asset yako alafu unamchekea?
 
Mkuu hii liquid assets ukiweka mfano mil 3,4,5 je kila mwezi utakuwa unapokea sh ngapi na ni bank Gani
 
Treasury bonds 25 years @ 16% , then reinvest gawio lako na ukiweza ongeza 1 m kila mwaka, baada ya 5 years itakuwa na 50m, 10 years 120m na 25 years utakuwa na 1.2 billion 😂, kumbuka no taxes, kazi ngumu na inflation very unpredictable
Hivi hizi TB huna zinacompounding effect? Mfano Nina 85 M now nikiweka for 25 years nitavuna kiasi gani kwa wastani?
 
Mkuu,ndo maana kuna kitu kinaitwa compound interest..
Hivi hizi TB huna zinacompounding effect? Mfano Nina 85 M now nikiweka for 25 years nitavuna kiasi gani kwa wastani?
Mkuu,bonds za BOT hakuna compund interest..utapata Faida flat rate kwa muda wote wa mkataba wako.

Utt kuna compound interest,kwa maana kuna option ya kuto kuchukua gawiwo. Lile gawiwo linaungana na mtaji na kuzalisha faida mpya,,hii inakuwa endelevu..kwa maana kila mwezi kuna faida tofauti kwa kupanda lakini siyo kushuka
 
UTT nibora zaidi kwasababu ina compaund interest , yani faida unayoipata leo nayo pamoja na mtaji vitazalisha faida kesho. Pia vipande vinaongezeka bei . Nyumba ya milion 20 kupata bei ya lakimbili kwa mwezi nichangamoto sana . Sana sana kodi ni elfu 60 hadi laki kwa mwezi
 
walioanzisha hii mifuko wanalitambua hilo mkuu. Ndiposa utakuta wakati wanaanza kipande kilikuwa 150 sasa hivi kipande kimoja ni 436
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…