LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kuna picha na video za mlevi mmoja zina trend sana kwenye social networks..
Videos zina mchora jamaa kama mlevi ambae akikosa pombe anaugua.
Jamaa mwenyewe ndio huyo hapo pichani
Is it for real au ni kiki?
Na huyu jamaa mlevi ndivyo alivyo in real life au ana act?
Kama ni kiki basi big up sana kwa marketing manager wa Liquid Pub