- Well, shame on me kwa kukataa kuamuliwa na mkoloni nani ananifaa kwua kiongozi wangu, I can live with that bila tatizo, lakini ninasema mzungu ajali mambo ya taifa lake ya taifa langu aniachie Mtanzania, ndio maana Mwalimu aliwafukuza mbio sana.
William.
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!
William.
A spade is a spade!- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.
- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!
Ahsanteni.
William.
- Leo Mkoloni kasema nani awe kiongozi wangu kesho atasema nini? Vijana tukatae utumwa hata kama ni wa siku moja.
William.
Mkuu Mwalimu Nyerere hakuishia kwa Wazungu tu hata wale waliokuwa wanataka kuuza Nchi aliwachamba vile vile, nakumbuka 1995 kuna Mkulu Mmoja alibadili hadi jina lengo auze Nji kwa waarabu !
LI class="uiUfiComment comment_1697954 ufiItem ufiItem">Lisa M Rockefeller All Tanzanian's both in and outside the country, please take a phone call one or two of your family members, let them know their vote counts, and they should send the message to all they know that Kikwete does not deserve a second chance, dont be intimidated, your ballot power is more powerful than their tear gases. i have just recived a text from a friend in Mumbeya that, they have been tear gased. this it the family that kept me in Tanzania, and their son locked up
- Mkuu ninajadili hoja muhimu kwa taifa langu as a Great Thinker, sio maneno maneno ya mitaani ambayo hayawezi kulisaidia taifa langu, ninasema hivi Mkoloni ajali mambo ya taifa lake la US, ya ndani ya Tanzania aniachie mwenye mwananch wa Tanzania.
William.
Wewe baba! unaongea nini lakini? Kutwa raisi wako anashinda nje ya nchi kuomba misaada! Bila haya kwenye kampeni zake anaongea jinsi wamarekani watakavyowezesha e-medicine ( ujinga uliokubuhu) alafu unasema hutaki kuingiliwa na wazungu. Do you read what you write kweli and do you really know what you are talking about.? Kuomba omba kwa watu ndio upenyo wa ukoloni mamboleo na wazungu sniffing on our asses and deciding for our country. So just shut up! am realyy pissed now with people talking rubbish like this.
Sasa unasema mkoloni wakati huko katika nchi yake, ondoka marekani ukaendeleze nchi yako tanzania, kama unaipenda kihivyo na haupendi nchi za wakoloni
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi
Familia ya Rockfeller wapo huru hapa Marekani mbali ya pesa zao, walikuwa Magavana, na bado wana Seneta kule Western Virginia. Na kama tungependa kuchunguza familia sijui kama na wewe ungekuwa na haki ya kuzungumza. Wale walioko kwenye nyumba za glasi ni bora wasiwe wa kwanza kutupa mawe. Mimi hapa Marekani ninasomea mambo hayo ya madini juu ya tunavyonyonywa sasa nikimsikia Kikwete na Ngeleja wanasema eti sheria mpya walioitunga ni nzuri inanisikitisha sana. Hata alivyosema hivyo jana Jaji Bomani alibakia kinywa wazi.- Wizi wa familia yake kwa taifa lake unafahamika na mpaka kuna sheria iliyotungwa kwa sababu ya familia yake kwa hiyo ni haki kuongelea as opposed na bongo hasa hapa JF ambapo asiyemkubali Slaa basi ni mwizi na fisadi, ndio tofauti hapa ndugu yangu!
William.
utumwa wanao Viongozi wetu ambao kesho tunafukuza Madarakani, Hivi unakumbuka 1995 Mzee Jumanne alivyotaka Kutuuza Mpaka Mwalimu akawa mkali, sasa hao ndio manyag'au kuliko hata hao Wazungu
- Kuna tofauti kubwa kati ya Rais anayezuru nchi yetu na Mzungu anayetaka kutuamulia Rais wetu awe nani!
William.
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!
William.
Sasa unasema mkoloni wakati huko katika nchi yake, ondoka marekani ukaendeleze nchi yako tanzania, kama unaipenda kihivyo na haupendi nchi za wakoloni
- Ungeangalia unachoongea kwanza, then ungegundua kwamba hata US huwa inaomba China, mara ya mwisho US iloomba Dola $ Million 150 za Stumulus isipokuwa waliomba kwa sheria iliyopitishwa na bunge, na sisi tunaomba msaada wa 40% ya budget yetu kwa wazungu kwa kutumia sheria inayokubalika na bunge letu lenye wabunge wa CCM na Upinzani, Slaa akiwa mmojawapo.
- Ninachoongelea mimi ni kukataa kuamuliwa na mzungu mkoloni nani ananifaa kuwa kiongozi wangu huko Africa, maana ni kukubali kwua mtumwa wa mkoloni aliyefukuzwa na Mwalimu baba wa taifa, pole sana kwa kutonielewa na mapovu mengi sana uliyonayo hayabadili anything, hoja yangu inaelweka kwamba mkoloni ajali mambo yake kwanza!
William.
Nimegundua kwamba Una kiwewe na Woga Juu ya Mabadiliko yanayoweza kutokea hapo Kesho! Mkuu kama na wewe ni Akina mjomba Kamlete siwezi kukulaumu una haki ya Kung'ang'ania Status Quo maana unafaidika nayo. Wazungu Wanaleta Misaada mnaigegeda wakihoji juu ya Pesa zao mnawaita wezi
Anamchukia Mkoloni Huku ana Green Card LoL! Wananchi tusipokuwa makini hawa Masultani wataendela kuneemeka na Kazi za Migongo yetu