Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

Kwani Mpina ni nani katika Tanzania hii.
 
Ukweli ndiyo huo.
 
Hoja hiyo hiyo ameiwasilisha Jana Bashiru Ally, mbona hukumwambia mmiliki ni Mpina?

Kama hoja haikujibiwa ipasavyo na kufanyiwa marekebisho, lazima isemwe na watu mbalimbali.
 

Nimecheka kwa nguvu, eti hoja ni ya Luhaga Mpina, kwahiyo ana haki miliki ya hoja? Kama alisema mbona hatukuona heka heka kama sasa? Mbona bei hazikushuka? Halafu hoja yenyewe kaizungumzia wapi, huko kwenye bunge kibogoyo la majizi ya kura?
 
Wewe ni fala sana. Kwamba Kwa kuwa Mpina alishaongelea ugumu wa maisha, basi milango imefungwa kwa wengine kuzungumzia?

Aliongea Mpina, ameongea Lissu na tutazidi kuongea hadi hali iwe nafuu.

Acha kutumia matako katika kufikiri. Tumia japo akili kidogo.
 
Na hilo limemgharimu mpaka kufyekwa jina lake, katika kugombea kuwa mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM pamoja na U-NEC wa CCM.
Aisee kumbe ndio sababu iliyomponza mpina kuteuliwa nec bado tuna safari ndefu
 
Mkiambiwa mna vijana wa hovyo msiwe mnabishaga. Huyu mtu anayejiita voicer anaonesha wivu wa kisiasa au wa ukewenza?
labda ungempa ushahidi kwamba Lissu ndio alianza kupaza sauti kuhusu mfumko wa bei na sio mpina
 
labda ungempa ushahidi kwamba Lissu ndio alianza kupaza sauti kuhusu mfumko wa bei na sio mpina
Kuna mtu ana hati miliki ya kuongelea mfumuko wa bei nchi hii?! Anybody can speak out on that pale anapoona inafaa.
 
Kuna mtu ana hati miliki ya kuongelea mfumuko wa bei nchi hii?! Anybody can speak out on that pale anapoona inafaa.
Mfumko wa bei ulianza tangu mwaka 2022 anachouliza lissu alikuwa wapi
 
Alaaniwe yeyote aliyemfyeka Mpina u-NEC ccm.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…