Lissu acha kushambulia watu, nadi sera zako watu wakuelewe

CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO.

CHADEMA a.k.a CHADOMO
 
Jiulize:

John Magufuli aliyekaa kimya bungeni kwa miaka 20, bila kupinga kitu hata kimoja mpaka ndani ya Baraza la Mawaziri, wakati Serikali ya CCM inasema kwamba pesa za IPTL siyo za Umma, amemfanya nini James Rugemarila?

Kama alikuwa anaamini kuwa pesa za malipo ya umeme zilizolipwa kwa IPTL zilikuwa mali ya Umma, kinyume na msimamo wa Serikali ya CCM, kwa nini hakujiuzuru Uwaziri?

Dr. John Pombe Joseph Magufuli alikaa kimya, huku Serikali ya CCM ikiwaibia Watanzania.
John Magufuli ni mnafiki.

Tundu Lissu atakuwa Rais bora kwa sababu siyo mnafiki.
 
Eddy, katika siasa, aliyeko madarakani humuondoi kwa kuwaambia Wapiga Kura kuwa wakuchague kwa kuwa utanunua ndege zaidi, au kujenga Mfugale nyingi zaidi.

Unamuondoa kwa kuwafumbua macho na kuwaambia Wapiga kura vitu vya hovyo alivyofanya huyo huyo aliyeko madarakani.
Katika Ulimwengu wa Siasa, kinachoshindanishwa ni matendo na uwezo (character and integrity) ya Wagombea.

Kushindanisha Sera ni Matunda ya hofu na woga.

Hii ndiyo Siasa.

Lissu anafanya siasa sahihi bila woga wala hofu ya binadamu mwenzake.

Hofu pekee aliyonayo ni hofu ya Mungu. Ndiyo sababu hasemi uongo.
 
SASA TOKA LISU AWEMBUNGE, ULISHAWAHI ONA ANAONGEA SUALA LA MAENDELEO YA TAIFA INJE NA UANAHARAKATI AMBAO ANAUNADI HADI LEO?
 
SASA TOKA LISU AWEMBUNGE, ULISHAWAHI ONA ANAONGEA SUALA LA MAENDELEO YA TAIFA INJE NA UANAHARAKATI AMBAO ANAUNADI HADI LEO?

Na watu wanamfata na kumsikiliza, means sio kila mtu Ana Aina ya mawazo yako
 

Kunywa soda kwa bill yangu
 
Ndio maana mie najiuliza huyu Lissu mdahalo atauweza kweli au ndio maana anamtaka Magufuli ili amshambulie kwenye huo mdahalo? Maana Lissu kitu ambacho anakimudu vizuri ni kushambulia watu.
 
Ndio maana mie najiuliza huyu Lissu mdahalo atauweza kweli au ndio maana anamtaka Magufuli ili amshambulie kwenye huo mdahalo? Maana Lissu kitu ambacho anakimudu vizuri ni kushambulia watu.

Ndio siasa ziko hivyo. Hata bashiru juzi kashambulia watu

Hata magu alimshambulia lisu kwa kusema ametoka huko ameshiba ugali

Hizo ndio siasa, haya sio maubili ya injili
 
Lissu angekufa that day kama mlivyopanga basi tusingeyajua haya yote - kwanza mlisema eti Lissu na Deo walikuwa wanaandikiana vi email kuihujumu Tanzania kwa Mabeberu ili waibe madini yetu - haya Lissu hupo na Deo yupo semeni tena..
 
Hivi kwa nini hampendi kuambiwa ukweli? Mbona akijitokeza mtu anawasifia hamumwambii anadi sera na aache kuwasifia?
 
Usishupaze kalio dawa ikuingie vizuri...
 
Lessu stress zimemjaa. Kunadi sera ni uwezo na Lissu kapitishwa kutoa lawama lakini sio presidantial material.
 
Nyinyi mlivyomshambulia Kwa Risasi 38 mliona raha
 
Kwani wanapoleta shida ni nani Kama sio watu? Mhusika yupo na ndio lazima alengwe,mbona nyie nnamu attack personally kwani Kuna shida? Mumekatazwa? Watu ndio watapembua pumba na mchele unaweweseka nini mkuu kwani katukanwa?
 
Lumumba mwaka huu yamepoteana! Wacha Lissu awanyooshe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…