sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Maridhiano yalikuwa ni maamuzi ya chama sio Mbowe.
No reform No election ni maamuzi ya chama.
Lissu ulipinga hadharani maamuzi ya chama kuingia kwenye maridhiano mpaka ukawaita viongozi wenzio wajinga.
Leo na wewe vumilia maoni na mitazamo tofauti ya wanachama hiyo ndio demokrasia.
Hii tabia ya kuanza kuwapiga viongozi na kuengua viongozi wa Chadema kwa sababu hawakubaliani na mtazamo wako inaenda kufanya ushindwe kabisa kuongoza chama. Unaiua chadema.
Wewe ulifikia kusema kada wa CCM rafiki yako Msigwa hoja zake zisikilizwe na watu kweli walimsikikiza hakuna aliyempiga ngumi.
Hiki chama unaenda kukiua kwa ujinga wako wa kukosa maarifa ya uongozi na hekima za kuishi na watu.