sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Mbumbu kiasi cha kutiliwa mfanoMwanachama gani huyo hautaki No Reforms?.
Huoni mikutano ya LISSU inavyosomba kuanzia watoto mpaka Wazee??.
Mimi nipo kwenye Huu Uzi kukujibu ,siondoki Ng'oo.
Twende kazi.
Ndugu zangu WanaJF, mnaounga Mkono NRNE, huyu niachieni mwenyewe ,nmeshagundua ni Mbumbumbu
wanaChadema wasiotaka theory za no reform no election G55.Weka wazi kuwa ni mwanachama gani ambaye hataki? Ni wanachama wa CCM ama chama gani!??
No reforms no electionwanaChadema wasiotaka theory za no reform no election G55.
Wanachama wengi sana hawataki utoto wa no reform no election. Na wameshaanza kuji organize G55 ndio habari ya mjini.Mwanachama gani huyo hautaki No Reforms?.
Huoni mikutano ya LISSU inavyosomba kuanzia watoto mpaka Wazee??.
Mimi nipo kwenye Huu Uzi kukujibu ,siondoki Ng'oo.
Twende kazi.
Ndugu zangu WanaJF, mnaounga Mkono NRNE, huyu niachieni mwenyewe ,nmeshagundua ni Mbumbumbu
Walipinga maridhiano hadharani yaliyowafanya wakarudi Tanzania kuendelea kufanya siasa. Leo hawataki kupingwa wanajigeuza miungu watu.Yeye na genge lake walipinga maridhiano wazi wazi, lakini hakuna alietishiwa kuvuliwa uanachama wala kupigwa mateke.
Mpira umegeuka upande wao, wameanza kuwapiga mateke wenye mawazo mbadala kwenye vikao vyao na kuwatishia kuwavua uanachama.
Lissu ni dikteta hataki kusikiliza mawazo mbadala ndani ya chama chake.
Hauna hoja.Aisee bongo kuna vituko sana mtu kama mtoa mada naye anaongelea siasa.
huyu jamaa ni haramia nyie hamjui tu, wamempiga ngumi ya kichwa mama wa watu hadi netiweki haokamati, hata hawajamjulia hali utafikiri walipiga mbwakoko,Mwanachama gani huyo hautaki No Reforms?.
Huoni mikutano ya LISSU inavyosomba kuanzia watoto mpaka Wazee??.
Mimi nipo kwenye Huu Uzi kukujibu ,siondoki Ng'oo.
Twende kazi.
Ndugu zangu WanaJF, mnaounga Mkono NRNE, huyu niachieni mwenyewe ,nmeshagundua ni Mbumbumbu
Lissu na machawa wake wanapenda kutoa maoni yao bila kugasiwa. Wao wanapiga ngumi za koo ukitoa mawazo yako. Vipi siku wakikabidhiwa jeshi?huyu jamaa ni haramia nyie hamjui tu, wamempiga ngumi ya kichwa mama wa watu hadi netiweki haokamati, hata hawajamjulia hali utafikiri walipiga mbwakoko,
Hawajajipanga kwaajili ya uchaguzi, hizi zingine ni drama na kupotezea wanachama wao muda tu.Walipinga maridhiano hadharani yaliyowafanya wakarudi Tanzania kuendelea kufanya siasa. Leo hawataki kupingwa wanajigeuza miungu watu.
yaani huyu jamaa na bokasa hawana tofautiLissu na machawa wake wanapenda kutoa maoni yao bila kugasiwa. Wao wanapiga ngumi za koo ukitoa mawazo yako. Vipi siku wakikabidhiwa jeshi?