Ndio mana Erythrocyte yeye ni ndio boss tuu, mana akileta ujuaji anaweza asilipwe posho na mangumi juu 😂Lissu na machawa wake wanapenda kutoa maoni yao bila kugasiwa. Wao wanapiga ngumi za koo ukitoa mawazo yako. Vipi siku wakikabidhiwa jeshi?
Vikao vyao vimegeuka kumbi za karate na judo. Unfortunately, wanawapiga wanawake bila aibu.yaani huyu jamaa na bokasa hawana tofauti
manina mungu ahangaike na lissu?Mtu unaitwa zinza pazuri chawa wa Mond huna nguvu wala una uwezo wowote wa kumshauli Lissu MUNGU Kamweka Lissu Kuja kufuta wahuni kwenye siasa
Maridhiano yalikuwa maamuzi ya nani kama sio chama? Lakini Dikteta Lissu na genge lake waliyapinga hadharani bila soni.Bado sijaelewa, kama ni maamuzi ya Chama sasa Lissu ndiye Chama?
Na baada ya hapo Chadema iliyapinga na kujiondoa na kuleta No Reform No Election, Shida iko wapi?Maridhiano yalikuwa maamuzi ya nani kama sio chama? Lakini Dikteta Lissu na genge lake waliyapinga hadharani bila soni.
Kwani Chadema mtakuwa mmeanza leo kubadili gia angani? Dikteta Lissu aruhusu wanachama kutoa maoni yao bila kupigwa makonde ya koo kama yeye na genge lake walivyopewa uhuru wao wa kutoa maoni kinyume na maridhiano.Na baada ya hapo Chadema iliyapinga na kujiondoa na kuleta No Reform No Election, Shida iko wapi?
Nadhani umeshawaona wanachama ambao hawatakiWeka wazi kuwa ni mwanachama gani ambaye hataki? Ni wanachama wa CCM ama chama gani!??
Ndiye dikteta wa chama.Bado sijaelewa, kama ni maamuzi ya Chama sasa Lissu ndiye Chama?