Lissu aelezea njama alizotumwa Ndungai zilivyodunda

Atoe manifesto ili Bashiru akopi
Bila shaka wakati huu Bashiru anatafuta kila njia ya kuhakikisha kwamba Lissu hatasimama kumkabili Magufuli.

Hebu CHADEMA watazame hatua zilizosalia mbele, ambazo hawa watu wanapanga kuzitumia kumzuia au kumchelewesha maksudi Lissu kuwa mgombea wa chama chao.
Hebu angalia- CHADEMA wakishamteua mgombea wao (Lissu), nani tena aliye na uwezo wa kmwekea mizengwe asiwe mgombea?

Mapingamizi yakiwekwa, ni nani anashughulikia kutoa uamzi wa hayo mapingamizi.
Anao uwezo wa kumchelewesha maksudi mgombea, kwa kupoteza muda, kwa mfano.

Mambo haya inapashwa CHADEMA wasimame kidete kabisa kuyakabili. Bila shaka CCM watafurahi sana kuwapoteza lengo CHADEMA, hata kutamani wajitoe kwenye uchaguzi!

Huu ni wakati muhimu sana kwa CHADEMA kusimama imara. Chaguo lao ni lazima walisimamie kidete, isiwe tu geleshagelesha ya hapa na pale.
 
Nyalandu yuko imara lakini kwa hilo watadhindana lakini hawatashinda
 
Kama kweli ameandika Lisu mbona anatapa tapa yeye kama raia si yupo huru lujaza fomu za ubunge na Urais zote mbili agombee tutampa kula kama ataweza kutumikia nafasi zote mbili yaani Mbung na Rais kama alivyokuwa rais Moi
Ww hujaelewa mada umechangia tu,kujifurahisha au kwa ajili ya kupata posho Lumumba.
 
Kwa mujibu wa katiba Lissu anazosifa tatizo Lumumba fc walikosea kitu kimoja, walitakiwa wakamshitaki kwenye baraza la maadili wampe haki zake za koasili halafu wamtie hatiani( hata kimagumashi) halafu lissu akitaka kukata rufaa wamcheleweshe (wa buy time) hii ingesaidia kiasi kwa sababu wangesema lissu hana sifa kwa sababu kashatiwa hatiani,(even if ame appeal)
 
Lisu angesubiri baraza kuu limpitishe kwanza kisha ndiyo atuombe wananchi tumuunge mkono.

Hii inakua kama vile kesha shinda na kupitishwa na baraza kuu kuwa mgombea wa urais kwa ticket ya Chadema.

Mbona kama inaonekana anaongea na baraza la uongozi wa Chadema, kuna nini huko kinachomtisha,! Nyarandu?!
 
Kama kweli ameandika Lisu mbona anatapa tapa yeye kama raia si yupo huru lujaza fomu za ubunge na Urais zote mbili agombee tutampa kula kama ataweza kutumikia nafasi zote mbili yaani Mbung na Rais kama alivyokuwa rais Moi
Sidhani kama sheria zetu zinaruhusu mtu kugombea ubunge na urais kwa wakati mmoja
 
Muda WA Sera sasa

Hizi individualities haziongezi Sana kura
 
Acha ujinga xheria zinaruhuxu kugombea mbon Mwiguli Nchemba aligombe uraixi alivyo katwa akagombea ubunge na akaxhinda?2015
 
Lissu hakwepeki
 
Ndungai ametumika kama taulo hata muda wa kuboresha jimbo lake aliukosa.
Nyie kweli mnashida kubwa sana. Sasa hapo ndugai anahusika nini na hiyo kamati yenu ya roho mbaya?. Kama Katundu aalivyosema anayosifa sasa uamuzi ni wenu kumpitisha au kumtosa. Shida iko wapi au ameshajishutika kama hawezi toboa kwenye kamati ya Roho mbaya??
 
Job Ndugai roho mbaya Sana yule dingi. Nadhani msosi wake unachanganywa na nnya kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…