View: https://m.youtube.com/watch?v=kBUGt1kS3Zs&pp=ygUOdGhlIGdpbGRlZCBhZ2U%3D
View: https://m.youtube.com/watch?v=VWsZN_OoqrI&pp=ygUUVGhlIG1vbmV5IG1lbiBvZiB1cyA%3D
Weka bundle jifunze nchi kama US wqmefikiaje hapo kukabiliana na changamoto za kutengeneza nchi.
Kazi ya kujenga nchi sio rahisi.
Uwezi kujenga nchi na civil service weak ambayo raisi anaweza badili maafisa wa usalama kila mwaka. That tells you hata hiyo katiba ni weak kujenga nchi.
Kufananisha ugomvi wa Trump na Lissu kwa vyombo vya ni vitu viwili tofauti.
Lissu ni poyoyo anaetumika tu alie wazi, yeye wenyewe hata hajui madhara ya kauli zake.
Donald Trump ni megalomaniac ambae anataka ku-experiment vitu ambavyo nje ya comfort ya civil services (we are going back to Plato’’s Republic).
Jamii forums nayo ina mapoyoyo tu ambayo ni contributors ambao hawajasoma hata vitabu vya siasa.
But then siasa democratically ni haki ya kila raia. Nonetheless it’s a siasa ni social discipline ina rules of arguments nchi za wenzetu.
Nichukiwe 90% ya michango yetu ni ujinga mtupu, tunahitaji mtu wa kutunyoosha zaidi ya Magufuli; wakati tunapewa elimu.
Ohoo Mwamposa Nyami, mara waislamu sijui hivi, mkuu wa wilaya, waziri wa hivyo ndio Iła anapewa lawama ambazo sio zake afukuzwe, degree yangu ya BA/MSc sina kazi au sistahili kufanya kazi hii.
Makonda hafai, Makonda anafaa, Makamba raisi, Mwigulu mwizi, Jerry Slaa anatafuta sifa.
Huu upuuzi kwanza unahitaji strong civil service then credible politicians, asilimia kubwa za mada za jukwaa la siasa ni ujinga mtupu.