Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Lissu haumbuki kwa lolote, siasa za america na tz wapi na wapi? Ni mbingu na ardhi achen kujifananisha na mataifa yaliyo juu wkt levels hizo hamjafikahili shambulio la Trump linamuumbua Tundu Lisu mwenye siasa za kitapeli aliyehongwa na Accacia kuwaxkibaraka na aliposhindwa kazi wakamlamba blancons
Sasa Lisu au sisiemu ndio wanaunbuka? Mbona uko na roho mbaya kwa mwanadamu mwenzio hizo hasira kama kweli ungekua una uchungu na uzalendo ungeanza na report za CAG kwa wanaotafuna hela za umma.hili shambulio la Trump linamuumbua Tundu Lisu mwenye siasa za kitapeli aliyehongwa na Accacia kuwaxkibaraka na aliposhindwa kazi wakamlamba blancons
Tundu Lisu ashadharaulika, watu walipiga kelele na kumlilia sana alipopigwa risasi, ila yeye SATIVA alipotekwa, hajasikika, wakati wote wameundergo the same experience. katelekeza kabisa victim wenzie, amesahau kuwa hata sativa inawezekana alilia kwasababu yake siku ile dom.Tundu Lisu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani serikali akamlaani Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu serikali wala hajamlaumu Biden hili ni fundisho kwa Lisu na wanasiasa uchwara wengine
Wewe ulipiga kelele au ushawahi chukua hatua gadi dhidi ya any injustice? Lisu unaweza jifananisha nae au kumfananisha na mwanasiasa gani kwenye kupigania haki za watu au nimgeni nchi hii?hiki chuma mtatangulia nyie Mungu anamipango nacho juu ya Watanganyika kshapaza sautj zakutosha dhiti ya haki za watu na rasilimali wengine mkiwa mpo tu kutoa maoni mitandaoni na fake ID.Tundu Lisu ashadharaulika, watu walipiga kelele na kumlilia sana alipopigwa risasi, ila yeye SATIVA alipotekwa, hajasikika, wakati wote wameundergo the same experience. katelekeza kabisa victim wenzie, amesahau kuwa hata sativa inawezekana alilia kwasababu yake siku ile dom.
Sisi tunashukuru kuwa Magufuli aliyeamuru Lissu auwawe yeye ndiye alikufa kibudu na Lissu yu hai.Tundu Lisu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani serikali akamlaani Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu serikali wala hajamlaumu Biden hili ni fundisho kwa Lisu na wanasiasa uchwara wengine
Mpumbavu wewe hata hujitambui .Tundu Lisu ashadharaulika, watu walipiga kelele na kumlilia sana alipopigwa risasi, ila yeye SATIVA alipotekwa, hajasikika, wakati wote wameundergo the same experience. katelekeza kabisa victim wenzie, amesahau kuwa hata sativa inawezekana alilia kwasababu yake siku ile dom.
labda utuambie, lisu alitamka lolote kuhusu kutekwa na kuteswa kwa sativa?Mpumbavu wewe hata hujitambui .
Unaongea kama kichwani umejaza inya!Tundu Lisu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani serikali akamlaani Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu serikali wala hajamlaumu Biden hili ni fundisho kwa Lisu na wanasiasa uchwara wengine
Ili iweje? Tuondolee upuuzi wako wa kiccm hapalabda utuambie, lisu alitamka lolote kuhusu kutekwa na kuteswa kwa sativa?
YAani kwakuwa tu Trump hajanyoosha kidole kwa Biden na Lisu naye asinyoshe hata kama amemuona mbaya wakeTundu Lisu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani serikali akamlaani Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu serikali wala hajamlaumu Biden hili ni fundisho kwa Lisu na wanasiasa uchwara wengine
Ulivyo jibu utazani ulikuwa peke yako unaongea mwenyewe chumbani
View: https://m.youtube.com/watch?v=kBUGt1kS3Zs&pp=ygUOdGhlIGdpbGRlZCBhZ2U%3D
View: https://m.youtube.com/watch?v=VWsZN_OoqrI&pp=ygUUVGhlIG1vbmV5IG1lbiBvZiB1cyA%3D
Weka bundle jifunze nchi kama US wqmefikiaje hapo kukabiliana na changamoto za kutengeneza nchi.
Kazi ya kujenga nchi sio rahisi.
Uwezi kujenga nchi na civil service weak ambayo raisi anaweza badili maafisa wa usalama kila mwaka. That tells you hata hiyo katiba ni weak kujenga nchi.
Kufananisha ugomvi wa Trump na Lissu kwa vyombo vya ni vitu viwili tofauti.
Lissu ni poyoyo anaetumika tu alie wazi, yeye wenyewe hata hajui madhara ya kauli zake.
Donald Trump ni megalomaniac ambae anataka ku-experiment vitu ambavyo nje ya comfort ya civil services (we are going back to Plato’’s Republic).
Jamii forums nayo ina mapoyoyo tu ambayo ni contributors ambao hawajasoma hata vitabu vya siasa.
But then siasa democratically ni haki ya kila raia. Nonetheless it’s a siasa ni social discipline ina rules of arguments nchi za wenzetu.
Nichukiwe 90% ya michango yetu ni ujinga mtupu, tunahitaji mtu wa kutunyoosha zaidi ya Magufuli; wakati tunapewa elimu.
Ohoo Mwamposa Nyami, mara waislamu sijui hivi, mkuu wa wilaya, waziri wa hivyo ndio Iła anapewa lawama ambazo sio zake afukuzwe, degree yangu ya BA/MSc sina kazi au sistahili kufanya kazi hii.
Makonda hafai, Makonda anafaa, Makamba raisi, Mwigulu mwizi, Jerry Slaa anatafuta sifa.
Huu upuuzi kwanza unahitaji strong civil service then credible politicians, asilimia kubwa za mada za jukwaa la siasa ni ujinga mtupu.