Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto.
Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa.
Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa hilo ni tatizo sugu kwenye vikao vya kamati kuu
"Kuvuja kwa nyakaza za chama za kamati kuu ni ugonjwa mkubwa wa chadema kwenye kamati kuu"
"Tunafanya vikao kwa unakuta zimevuja ziko nje, tatizo hilo halijaanza kwa Msigwa"
"Kuna watu wana uhusiano wa ajabu na mahasimu wetu, huko serikalini, uchunguzi ungefanyika wangeshikwa"