Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Kama haikuwa unafiki Zanzibar pale Tundu Lissu alipoamua kukitosa chama chake na mgombea urais wao na kumuunga mkono Maalim Seif, basi aendelee atakapokuwa Kigoma kwa kumnadi Zitto na ACT-Wazalendo.
Sababu na nia ni ileile Chadema ioneshe kwa vitendo kuwa sehemu ambazo kuna mgombea imara wa upinzani wao wamuunge mkono.
Muda umefika wa mbivu ama mbichi.