Uchaguzi 2020 Lissu akifika Kigoma amuunge mkono Zitto na ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Lissu akifika Kigoma amuunge mkono Zitto na ACT-Wazalendo

Acha kuangaika na kujipendeza kwa Mhe, LISSU utapasuka msamba bure, sio saizi yako hata kidogo.
Saizi yako ni Magufuli msaidie kupokea ndugu zake WAHUTU.
 
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Acha kuangaika na kujipendeza kwa Mhe, LISSU utapasuka msamba bure, sio saizi yako hata kidogo.
Saizi yako ni Magufuli msaidie kupokea ndugu zake WAHUTU.
 
Ndugu zangu,

Kama haikuwa unafiki Zanzibar pale Tundu Lissu alipoamua kukitosa chama chake na mgombea urais wao na kumuunga mkono Maalim Seif, basi aendelee atakapokuwa Kigoma kwa kumnadi Zitto na ACT-Wazalendo.

Sababu na nia ni ileile Chadema ioneshe kwa vitendo kuwa sehemu ambazo kuna mgombea imara wa upinzani wao wamuunge mkono.

Muda umefika wa mbivu ama mbichi.
Zitto amuunge mkono mgombea wake. Kila chama kile urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom