Uchaguzi 2020 Lissu akifika Kigoma amuunge mkono Zitto na ACT-Wazalendo

Think big
 
Chadema ioneshe kwa vitendo kuwa sehemu ambazo kuna mgombea imara wa upinzani wao wamuunge mkono.
Wakudadavua hatimae hata ccm yako imeufyata kwa Zitto. Imetambua kuwa ni mgombea imara.

Sasa kuhusu Lisu kumuunga mkono Zitto naona kama hukuufumbata vizuri mkuyati wa mumeo usiku huu. Lisu anagombea urais wakati Zitto anagombea ubunge. Kigoma siyo nchi kama ilivyo Zanzibar.
 
Umesahau kuwakumbushia ACT pia kuwa nao wamechelewa tena saana kumuunga mkono Lissu nafasi ya Urais na kuwaachia majimbo ya ubunge CHADEMA ambayo wana nguvu kuliko ACT kama Ubungo n.k. Wanasiasa bwana utakuja kusikia matokeo ya Ubunge eti:
CCM - 35,678,
Chadema - 34,675
,
ACT - 3,456

H
apo ndipo utasikia eti kufanya kosa sio kosa...Mburaaaa.😵
 
Usitupangie ww, kwani kumuunga mkono Sharif ulitupangha ww..
Kule Zanzibar huko bara..
Shika adibu yako
 
Tulia mrembo, mbona una panic?

Your browser is not able to display this video.
 
Lengo la ACT litakuwa limetimia
 
Hoja ni kwa Tundu kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…