Lissu akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kumjibu Mbowe, TBC wataurusha live?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.

Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia

Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
 
IMG_20241221_220432.jpg

Kutoka maktaba
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.

Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia

Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Lissu anamtukana hata Rais, tbc itaruhusu?
 
Watu mko bizi sana na siasa,yaani ndani ya siku moja issue ya chama kimoja inaletewa threads kadhaa na mtu mmoja ,mmoja !
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.

Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia

Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Sikutarajia uko mpumbavu kiasi hiki, unachonganisha watu wazima? Lisu akifata huu ujinga atakuwa mjinga kuliko wewe na atathibitisha kukosa kwake sifa za kuwa mwenyekiti!
 
Wewe ndio umesema.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.

Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia

Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
TBC hawawezi kufanya coverage ya mtu ambae mshauri wake ni Mdude,wewe unaweza?

Yaani wafikishie uropokaji Kwa Umma? Ili kitokee nini?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.

Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia

Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Hawawezi
 
Back
Top Bottom