Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Muondoeni kwa KURA!Mbowe ni mlafi sana wa madaraka, kumbe iko namna anafaidika na chama *****!
Ngoja tuone.Watarusha tu
Lissu anamtukana hata Rais, tbc itaruhusu?Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Hii post imesambaa sana mitandaoni.
Sikutarajia uko mpumbavu kiasi hiki, unachonganisha watu wazima? Lisu akifata huu ujinga atakuwa mjinga kuliko wewe na atathibitisha kukosa kwake sifa za kuwa mwenyekiti!Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Wewe ndio umesema.Sikutarajia uko mpumbavu kiasi hiki, unachonganisha watu wazima? Lisu akifata huu ujinga atakuwa mjinga kuliko wewe na atathibitisha kukosa kwake sifa za kuwa mwenyekiti!
TBC hawawezi kufanya coverage ya mtu ambae mshauri wake ni Mdude,wewe unaweza?Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
..mlichobashiri hakikutokea, msubiri matokeo uchaguz ukifanyika, ya nini kupindua pindua maneno..Wewe ndio umesema.
Toka hapaWatu mko bizi sana na siasa,yaani ndani ya siku moja issue ya chama kimoja inaletewa threads kadhaa na mtu mmoja ,mmoja !
Chawa!..mlichobashiri hakikutokea, msubiri matokeo uchaguz ukifanyika, ya nini kupindua pindua maneno..
HawaweziHili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo hakuyasema, basi kwa sass tutarajie kuyasikia
Swali ni je, TBC watarusha live mkutano wake iwapo ataitisha mkutano wa waandishi wa habari?
Mbowe na Lipumba, ni kurwa na dotto!!.
Copy and pest ya Nzee ya buguruni naiona.