Lissu akiondoka Chadema, hakuna Mwana-Chadema ataondoka kwenye chama kumfuata Lissu

Gari imewakia kwenye gia
 
Chdm this time mko offside...hamueleweki, mnyukano wenu utadhani ni vyama viwili tofauti..siwaelewi na sidhani kama mnaeleweka..waliochukua form za uenyekiti naona wote hawafai kwa maoni niyaonayo humu..bora angetokeaga mwingine tofauti na hawa..kisha apate hio nafasi..ili Mbowe na TL wote wakae pembeni
 
Ngoja nikuambie wewe mke wa diamond....achilia mbali Lissu kuondoka..so far kwa haya yanayoendelea hiki chama cha wachaga salama yao ni Lissu kuwa mwenyekiti..kinyume chake Freeman hapati hata diwani mmoja..hiyo ni bila hata figisu..
Labda Samia amzawadie....
 

Lissu ni machine ya kazi ndani ya CHADEMA. Endeleeni kudhani Mbowe anakiimarisha chama kumbe anakisambaratisha. Nasimama na Tundu Lissu.
 

Lisu aondoke aende wapi?
 
Uliongea nao wakakuhakikishia hilo?
 
Wangejitokeza wengi ila kitendo cha Mbowe kuchukua fomu wengi wameogopa kuitwa wasaliti. Ndio maana tulitamani apishe
 
Hao wanachama ni chumia tumbo kama Lissu mwenyewe maana Lissu sasa hivi anatumiwa na ccm kukidhoofisha chama.


Lkn sisi wanachama wenye uchungu na chama kamwe tutasimama na mh Mbowe tu.
 
Reactions: Tui
Siku hadi siku nazidi kuamini CHADEMA imejaa wapumbavu wengi, Kama wewe ni aina ya Wanachama basi kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…