Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Wewe huna ata uwezo wakujua kesho yako itakuaje unawezaje kujua yatakayoikuta hii nchi miezi mitatu ijayo.Lolote kinawezekana chini ya jua.
 
Kipi kipimo chako
 
Wasted sperm...
 
Yaani CCM kiwaze kuwa chama cha upinzani?? Kwa sera zipi?? Kwa mikakati ipi mliyonayo ninyi wapinzani?.Mnafikili kushika dola ni kama kuokota embe dodo!
Kwani Ccm inaongoza nchi kwa sera gani za tofauti nazavyama vingine.Ccm iko madarakani sio kwasababu ya sera bora au ubora wa viongozi wake bali kwasababu yakurithi nchi toka kipindi cha uhuru.Nahiyo ndio advantage pekee waliyonayo na wanayoendelea kuitumia.
 
Yahya jameih alimiliki tume na tume hio hio ndo ikamtangaza Barrow mshindi,kumiliki tume sio kumiliki akili za watu.
Hii ni Tanzania.........huyo Yahaya hajulikani anaishi wapi
 
kwani ndugu zake ccm mfano KANU nk walishindwa vipi kuendeleea,anga limeshaikataa ccm.
kama ameumiza na kusomesha wengi namba kwann asiisome nae october.
kuna mtz yeyeto mwenye akili timamu atachagua kuteswaa tena 5 yrs
We subiri oct ndo utajua hao timamu wako upande upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kafanya mambo gani? ajira?
 
Lisu ana roho kama ya Mandela atawasamehe wote kama Mandela alivyowasamehe wabaya wake wote
 
Ndoto ya mchana kweupe. Ninawambiaga watu wajifunze kutoka kwa Miguna Miguna wa Kenya. Kelele nyingi bila ubora.
 
Lissu akishinda mabeberu yatakuja kwa fujo.. wa tanzania tutageuzwa mbuzi jike na ma beberu
CCM wakienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa CCM huwaita mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Ndoto ya mchana kweupe. Ninawambiaga watu wajifunze kutoka kwa Miguna Miguna wa Kenya. Kelele nyingi bila ubora.
Usije na mifano ya kenya twende na ya Malawi sasa
 
kwa makundi yepi kwenye jamii atawashawishi ili waendelee kuteswa tena.
Haya maneno yenu hayakuanza leo, hao wananchi wanaoteswa na huu utawala na wasioteswa watajulikana mwishoni mwa oct.
Ni jambo la kuvuta subira tu watu wapo jikoni wanaandaa chakula cha akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wakienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga wa CCM huwaita mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
Kweli kabisa.
Iweje CCM kila wakati wanawaita Wazungu Mabeberu, Kwani wao ni Mbuzi jike? Ajabu!
 
Jamani mi magoti yanaota sugu kwa maombi maana naomba ccm wapotee Kama unavyopotea upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…