gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Wewe huna ata uwezo wakujua kesho yako itakuaje unawezaje kujua yatakayoikuta hii nchi miezi mitatu ijayo.Lolote kinawezekana chini ya jua.Lissu hawezi kishinda uchaguzi!..Kura zake hazitazidi hata 10% ya wapiga kura! .Tuache kuota ndoto na kujipa matumaini hewa.Yaan hata wapinzani waungane wote hawawezi battle na JPM halipingiki Hilo, yule ni kisiki cha mpingo hawamuwezi!. Hii ni kwa sababu alioyoyafanya yanaonekana kwa macho, mpaka sasa sijaona hoja yoyoye ya maana aliotoa lissu zaidi ya kua attack mtu tu !.