Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Hawezi kwa sababu.. hana cha kumpa cheo hicho.. aendelee tukuwa mwanaharakati.. mdaku..mpiga domo.. mpenda kupewa pesa na mabeberu.. msutaji.. n.k.
 
Amini nakuaminia, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu.
Na kwa kukuhakikishia, Magufuli anaenda kukanwa na wenye CCM yao mwaka huu.
Chadema mjuaje kujifariji!!!! Yaani hadi mnatia huruma ya kweli.But hii inawasaidia kuondoa stress
 
Halipendwi na wananchi!
 
Hakutakuwa na namna nyingine , kama ilivyo kuwa kwa marais wengine nchi zilizo badili mifumo ya utawala!
 
Dah!
Election Campaign zinaanza kesho Duh
 
Hapa ni ndoto za kila namna utafikiri imepita shibe kali ya “ubwabwa” wa Mzee Spunda.
 
Titawafuta wale waliopitishwa bila kupingwa uchaguzi urudiwe
 
Hahaha hawa ni wasanii kile ni sehemu ya kazi zao kinaitwa Chama cha music (ccm).
 
Kampeni zinaanza kesho Ila Leo mtaani kulikuwa na kasheshe kijani full mbwembwe kama zote Ila sijui Lissu akishinda watasemaje[emoji23][emoji23] Kampeni za CCM lazima wajaze watu kwasababu wanatembea na wasanii
 
Wasanii kama walivyo watanzania wengi na maaskofu uchwara kama gwajima huwa hawana aibu kukana misimamo yao ya siku chache nyuma.

Usishangae Diamond akianza kutafuta fundi amshonee gwanda.
 

Umesahau kwamba ulipiga ramli kuwa hawezi kurudi TZ akarudi ukasema hata akirudi atakamatwa hajakamatwa ukasema hata akichukuwa fomu hatapitishwa sasa amepitishwa endelea kusema ila matokeo ya kila hatua unayaona
 
Kutatokea vifo vingi sana vya gafla.amini hivyo.
 
wewe jipe matumaini tu kama magufuli anakubarika kwanini anatumia vyombo vya ulinzi na tume ya uchaguzi kumubeba. aachi wananchi wanao mkubali wachaguwe tuone kama atambulia hata kura milioni moja. miaka mitano yote imeisha akilazimisha kila mtu aimbe pambio za kumsifu yeye pekee. chakushangaza mpaka leo hawezi kuitisha mkutano bila wasaniii na watu kubebwa kwenye malori ili aweze kujaza watu wakati mpizani wake aliye kuwa kwenye kitanda cha hospital anajazaa watu bila hata mziki wala chombo cha habari kutangaza .
 
Nahisi kuna watu washaandaa visa kabisa mapema
 
Bado kidogo utaanza kuokota makopo
 
Labda ashinde njaa lakini uchaguzi lissu hawezi kushinda. Hana ushawishi.
 
hata kwa mfano tu haendani na hawezi kua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…