Lissu akiunda chama chake nitakuwa wakwanza kujiunga kwenye chama chake. Hii itakuwa CCM Z kama Gen Z

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge.
Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija.

Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza kubadilisha DNA ya CCM katika miili ya Watanzania au tusubiri mutation change ambayo kutokea huchukua Mamia kwa maelfu ya miaka.

Acha nipumzike tuu
 
Unajua kuwa msajili wa vyama vya siasa ni kada mtiifu wa CCM?
 
Back
Top Bottom