Kwema Wakuu!
Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge.
Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija.
Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza kubadilisha DNA ya CCM katika miili ya Watanzania au tusubiri mutation change ambayo kutokea huchukua Mamia kwa maelfu ya miaka.
Acha nipumzike tuu