Lissu akiwa kwenye jukwaa la mabanzi (Kichanja)

Hapo sina mengi. Embu jaribuni kuangalia kwa makini picha hizo hapo chin.

Wamemuwekea kichanja, badala ya jukwaa.
Hata angepanda juu ya jiwe au mabegani mwa mtu,kinachopaswa ni ujumbe ufike loud and clear.Maeneo ya vijijini ambako serikali ya CCM imeshindwa kuinua uchumi wa watu na kupaemdeleza ulitegemea ukute maturubai au majukwaa ya vyuma?Hujui kusoma mazingira?
 

Bora hata kungekuwa na watu. Walikuwepo wenyewe tu. Bila wananchi au wanakijiji unaowasema.
 
Una uhakika na ulichokiandika au umeshashiba kimela kilichovundikwa.Unajua tofauti ya watu wa kadiri na hakukuwa na watu?Kwani wao hawakuwa watu?Punguza ujuaji hadi unaonesha umekula nini kwenye magego.
Sasa bro hapo kadikisha ujumbe kwa hadhira gani!?

 
Hapo sina mengi. Embu jaribuni kuangalia kwa makini picha hizo hapo chin.

Wamemuwekea kichanja, badala ya jukwaa.


View attachment 2630447
Mnyika na Mrema wanapaswa kujitokeza na kutoa kauli thabiti ya kukemea kuhusu upotoshaji unaofanywa kuhusu mgogoro ambao unasemwa kuwa unafukuta ndani ya CDM. Hivi karibuni imetokea tabia za uzushi na upotoshaji wa makusudi kuhusu kila anachokifanya Lissu.

Ni lazima wahusika wa kitengo cha uenezi na propaganda watambue kuwa uongo unaposemwa, na huku ukirudiwa mara kwa mara pasipo kukanushwa, watu huuamini kuwa ndiyo ukweli wenyewe. Ni lazima wawe "promptly & reactive to control the possible damage".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…