Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize wewe, Mwalimu Nyerere aliwahi kutumia jukwaa la aina hiyo hata nyakati zile za kudai uhuru?Ametisha sana
Nimeambiwa hilo siyo Jukwaa ni Kizimba cha Mahakama ya JadiNikuulize wewe, Mwalimu Nyerere aliwahi kutumia jukwaa la aina hiyo hata nyakati zile za kudai uhuru?
Hii ni zaidi ya miaka 60 tokea tumetoka huko.
Hizi ni ishara tosha kabisa kwamba chi yetu hii itatuchukua miaka mingi sana kupata mabadiliko yaliyo tofauti na huko tulikoanzia.
Haiti (nchi moja huko bara la Marekani kusini), na haiko mbali sana na vinara wa maendeleo makubwa duniani), wao nao walipata uhuru wao toka Ufaransa miaka mingi sana, zaidi ya 100; lakini hali yao leo hii hatofautiani sana na huko walikoanzia baada ya kupata uhuru wao.
Kama tutaendelea kuwa na viongozi wa aina tuliyonayo sasa, tusiwe na matumaini ya mabadiliko dhidi ya haya tunayoyaona kwa mfano huu wa haya majukwaa ya Lissu. Hiki ni kielelezo tu kidogo kuhusu hali zetu duni huko vijijini.
Akishaanguka wangesingizia usalam lazima wa taifac bila shakaJamaa walivyompandisha hapo sijui walitaka wamuangushe avunje mijuu?
Umesomeka mkuu.Hata angepanda juu ya jiwe au mabegani mwa mtu,kinachopaswa ni ujumbe ufike loud and clear.Maeneo ya vijijini ambako serikali ya CCM imeshindwa kuinua uchumi wa watu na kupaemdeleza ulitegemea ukute maturubai au majukwaa ya vyuma?Hujui kusoma mazingira?
Kwa hiyo hao waliopo hapo ni nyasi?.Au macho yako hayaoni.Bora hata kungekuwa na watu. Walikuwepo wenyewe tu. Bila wananchi au wanakijiji unaowasema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika na ulichokiandika au umeshashiba kimela kilichovundikwa.Unajua tofauti ya watu wa kadiri na hakukuwa na watu?Kwani wao hawakuwa watu?Punguza ujuaji hadi unaonesha umekula nini kwenye magego.
Kadikisha/kafikisha?