Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano inauoongozwa na mtukufu Rais Dr JPM.Kuna vitu kansa nchii hi, Uhuru wa watu, Uhuru wa vyombo vya habari, kupika data, Watu kubambikiwa kesi, Kodi na watu kupotea.
Mambo haya yanashangaza sana.
Wewe wewe wewe [emoji23][emoji23] Pongezi kwa kufubaza uchumi?Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano inauoongozwa na mtukufu Rais Dr JPM.
Amesema kweli. Biashara ziko hoi nchi yetu hii.
Siyo mbaya na afya tele kujipa matumaini kama haya. Hongera.YEYE AENDELEE KUTALII NA SISI TUNAMSUBIRI ADHABU YAKE OCTOBER 28
Huoni aibu??? Kuna hatihati CCM hamfikishi hata 30% ya kura mwaka huu!! Maana mmeharibu kote, si kwa wafanyabiashara si kwa wakulima si kwa wafanyakazi si kwenye ajira kwa vijana!!! Lazima mzimie mwaka huuYEYE AENDELEE KUTALII NA SISI TUNAMSUBIRI ADHABU YAKE OCTOBER 28
NADHANI UMETOKA KUVUTA BANGI KULE BA-VICHAA!Huoni aibu??? Kuna hatihati CCM hamfikishi hata 30% ya kura mwaka huu!! Maana mmeharibu kote, si kwa wafanyabiashara si kwa wakulima si kwa wafanyakazi si kwenye ajira kwa vijana!!! Lazima mzimie mwaka huu
Ndugu, unaunga mkono unyanyasaji wa wafanyabiashara kupitia ubambikizwaji wa kodi?Watamchangia ili awaondole hiyo kodi, ndio maana ya nchi kushikiliwa na "mabeberu"
Tukutane October. Ccm hampati hata 30% ya kura kwenye uchaguzi huu. Furahini vya mwisho mwisho. Majibu yenu mtayapata October 2020 hapo!!NADHANI UMETOKA KUVUTA BANGI KULE BA-VICHAA!
SINA MUDA NA WAVUTA BANGI ZA MCHANA
Weka mahesabu yako vizuri kuepuka ukadiriaji ambao wewe unaona ni uonevu, tumia efd.Ndugu, unaunga mkono unyanyasaji wa wafanyabiashara kupitia ubambikizwaji wa kodi?
Kwani before huo utaratibu wa 20000 kuanzishwa wafanyabiashara wa mafremu walikuwa wanalalamika kuhusu machinga ?Kuhusu 20,000/ ya wamachinga, hii haina kosa kabisaa! Shida inaanzia pale mtu unakitambulisha, bado kuna Luba la halmashauri linataka kitu tena,
Hilo Luba ndilo limevuruga huo utaratibu mzuri wa kila aliye Mtanzania kuijenga nchi yake Kwa angalao Kodi kiduchu, na sidhani hata yeye mh Lisu akibahatika kuingia Ikulu eti autoe huo utaratibu badala ya kuuboresha, hapo tena atatengeneza upinzani wa nguvu kutoka Kwa wafanya biashara nchi nzima hasa wenye mafremu