Lissu alaani unyanyasaji wa wafanyabiashara nchini

Lissu alaani unyanyasaji wa wafanyabiashara nchini

Leo ndio nimeamini Lissu ni chizi kabisa! Hawa wanachinga walikuwa wanalipa kila siku miatano ...hahaha yani leo hii wanalipa 20000 kwa mwaka anasema ni utaratibu mbaya hahahaha eti haupo kisheria...


Shida ya Lissu anaongea sana bila kutafakari kweli vitambulisho havipo kisheria?
 
Hapo Mbeya manispaa ya Mbeya ikiwa Chini ya Chadema wafanyabiashara ndogo walikuwa wakipigwa mateke na mgambo wa jiji kudaiwa Kodi na kuvurumishwa huku na huku hivyo vitambulisho ndivyo viliwaokoa na kipigo Cha mgambo wa jiji chini ya meya wa Chadema

Lisu alitaka wabaki bila vitambulisho ili mgambo waendelee kuwapiga mateke
 
Hapo Mbeya manispaa ya Mbeya ikiwa Chini ya Chadema wafanyabiashara ndogo walikuwa wakipigwa mateke na mgambo wa jiji kudaiwa of na kuvurumishwa huki na huku hivyo vitambulisho ndivyo vikiwaokoa na kipigo Cha mgambo wa jiji chini ya meya wa Chadema

Lisu alitaka wabaki bila vitambulisho ili mgambo waendelee kuwapiga mateke
Nyumbu wa Ufipa wanaakili za kuvukia barabara tu.
 
Back
Top Bottom